TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Mtoto anae mkuu, tena mkubwa mno, ila alikuwa anataka mumuone mbichi akawa anamficha sana..
Hakuna mwanamke anayetokea mbeya awe mzuri alafu afkishe miaka 20 bila kutolewa bikra ya kizazi..
 
Mrembo wetu mwenye shape mwanana Agnes Gerald (Masogange) amefariki jioni hii. Chanzo cha kifo hakijajukikana bado.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Chanzo cha taarifa? Kama ni kweli alale panapostahili
 
Aiseee kuna kitu hapa,si bure,uchunguzi huru unahitajika.
MASOGANGE.jpg
 
Back
Top Bottom