TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Inategemea umeenda ukiwa stage gani mkuu .. kuna watu wanaenda na unakuta hadi utumbo umeanza kukatika.. jiulize kwann hiyo typhoid imepelekea akaishiwa mpk damu
Typhod haipo kwa wingi kama hospital nyingi wanavyodai. Kwa kifupi cases za typhod kwenye hospital zetu ni chache. Ila kuna kitu kimoja unatakiwa ku note. Mara nyingi watu wenye ukimwi hushambuliwa na magonjwa mengi na typhod ni mojawapo.
 
Typhod haipo kwa wingi kama hospital nyingi wanavyodai. Kwa kifupi cases za typhod kwenye hospital zetu ni chache. Ila kuna kitu kimoja unatakiwa ku note. Mara nyingi watu wenye ukimwi hushambuliwa na magonjwa mengi na typhod ni mojawapo.
Kama unaijua typhoid na stages za H.I.V huwez kuuweka kwenye kundi hilo.. niishie hapa naona tupo tofauti
 
Kifooo oooohhh kifoooo hakina hurumaaa.
Mungu ampe makazi mema.daahhh bodi yote hiyo inaenda kuliwa na nyenyere
 
Apumzike salama agness..

She was so young na Mungu alimjalia uzuri kusema ukweli..

Mbele yetu tupo nyuma yake
 
Nobody dies virgin, because at the end life https://jamii.app/JFUserGuide us all

That's death [emoji88]

Live your life
 
Rest In Eternal Peace
 
Nikiangalia reactions, yaonyesha huyu ana umaarufu wake, cha kusikitisha ni kuona mtu anapata mauti kwenye kiji-dispensary cha mwenge. Hii inaonyesha umuhimu wa kuwa na Hospitali za maana na pia kuongeza ufahamu wa watu kuachana na tiba za vichochoroni unapokuwa na matatizo ya hatari kiasi hicho.

Ingekuwa ni dhalula, ningeelewa lakini kupelekwa dispensari sijui ya mama fulani! Shame! Tujenge Hospitali tuachane na kuhangaika na ruzuku za vyma vya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…