macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Typhod haipo kwa wingi kama hospital nyingi wanavyodai. Kwa kifupi cases za typhod kwenye hospital zetu ni chache. Ila kuna kitu kimoja unatakiwa ku note. Mara nyingi watu wenye ukimwi hushambuliwa na magonjwa mengi na typhod ni mojawapo.Inategemea umeenda ukiwa stage gani mkuu .. kuna watu wanaenda na unakuta hadi utumbo umeanza kukatika.. jiulize kwann hiyo typhoid imepelekea akaishiwa mpk damu