TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Mkuu kama kweli una nia ya kupata majibu yako yaliyo sahihi,nenda mbele za Mungu mwombe au ingia makanisa ya kipentecoste wakati wa sunday school uliza hilo swali lako.Nilikushauri ujifunze kitu kwenye majibu ya Yesu ila umefanya haraka.Soma biblia utapata majibu yako siwezi kukujibu nahitaji kutafuta maandiko mengi zaidi ili nikupe jibu litakalokufaa.Ila binafsi unaweza end kumwuliza Mungu hata Ayubu alimwuliza Mungu siyo dhambi.
Nimesema mwanzo hakuna contradiction,it's your limited knowledge that will contradict you,kuna kitu nafuatilia kwa sasa sitakujibu mapema.
 
Nimeona clip steve nyerere anatamka kuwa agness ameumwa pumu kwa siku nne na ndio ugonjwa ulio muua
 
Lete ushahidi wa aya!
"Kullu nafsi dhaikat llmaut"
Mkuu shida ni lugha ya kiarabu inapoongelewa watu hujua ni uislam bila kujua kuna waarabu wameokoka nao wanaongea kiarabu wakimtukuza Yesu,hapo ni lack of knowledge.Usimbane sana.
 
Hii habari naona haijathibitishwa rasimi.
Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.
 
Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.
Dah agiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…