Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jamani Makonda kahusiana nini na kifo cha Aggg ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi wa aya!Hii haitumiki
Shari huyo mtu awe Muislam
Duuh kumbe ilikuwa kwa sababu ya ile video?Alirekodiwa video clip yupo naked na mtu wake anatwerk daahhh!akanywa vidonge ajiue
Siku hizi anakengeuka mkuu. Msamehe bure.Mkuu, unaheshima sana hapa jukwaani!! Naona Heshima yako unaidhalilisha. Yanini kumhukumu marehemu?!
YaapDuuh kumbe ilikuwa kwa sababu ya ile video?
This is not tuition place dude! I appreciate you comprehended.Be kinder!!!??
Which English is that!?
Be kind.
Mkuu kama kweli una nia ya kupata majibu yako yaliyo sahihi,nenda mbele za Mungu mwombe au ingia makanisa ya kipentecoste wakati wa sunday school uliza hilo swali lako.Nilikushauri ujifunze kitu kwenye majibu ya Yesu ila umefanya haraka.Soma biblia utapata majibu yako siwezi kukujibu nahitaji kutafuta maandiko mengi zaidi ili nikupe jibu litakalokufaa.Ila binafsi unaweza end kumwuliza Mungu hata Ayubu alimwuliza Mungu siyo dhambi.Kwa hiyo bado umebakia pale pale kua kifo chini ya uzee wa miaka 70 ni mpango wa shetani??Mungu hausiki hapo na vifo ivyo nadhani ni vema tukianzia hapo alafu naamini nitakua na maswali ya msingi maana naamini Mungu alikua na uwezo wa kumuacha Yesu aishi zaidi ya miaka 70 ili kusiwe na contradiction alafu ndio lile Agano lingetimizwa.
Kete ngumu hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]????
Hii habari naona haijathibitishwa rasimi.Heeh.....Hebu leta taarifa iliyokamilika mkuu
Kind kinder kindest [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Be kinder!!!??
Which English is that!?
Be kind.
Mkuu shida ni lugha ya kiarabu inapoongelewa watu hujua ni uislam bila kujua kuna waarabu wameokoka nao wanaongea kiarabu wakimtukuza Yesu,hapo ni lack of knowledge.Usimbane sana.Lete ushahidi wa aya!
"Kullu nafsi dhaikat llmaut"
Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.Hii habari naona haijathibitishwa rasimi.
sio mambo ya madawa?!!Jamani Makonda kahusiana nini na kifo cha Aggg ??View attachment 751487
Dah agiiii.Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.
mwili mkubwa hivyo anapungukiwaje damu?mh labda kweliView attachment 751193