TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Jamani Makonda kahusiana nini na kifo cha Aggg ??
Screenshot_2018-04-20-23-03-51.jpg
 
Kwa hiyo bado umebakia pale pale kua kifo chini ya uzee wa miaka 70 ni mpango wa shetani??Mungu hausiki hapo na vifo ivyo nadhani ni vema tukianzia hapo alafu naamini nitakua na maswali ya msingi maana naamini Mungu alikua na uwezo wa kumuacha Yesu aishi zaidi ya miaka 70 ili kusiwe na contradiction alafu ndio lile Agano lingetimizwa.
Mkuu kama kweli una nia ya kupata majibu yako yaliyo sahihi,nenda mbele za Mungu mwombe au ingia makanisa ya kipentecoste wakati wa sunday school uliza hilo swali lako.Nilikushauri ujifunze kitu kwenye majibu ya Yesu ila umefanya haraka.Soma biblia utapata majibu yako siwezi kukujibu nahitaji kutafuta maandiko mengi zaidi ili nikupe jibu litakalokufaa.Ila binafsi unaweza end kumwuliza Mungu hata Ayubu alimwuliza Mungu siyo dhambi.
Nimesema mwanzo hakuna contradiction,it's your limited knowledge that will contradict you,kuna kitu nafuatilia kwa sasa sitakujibu mapema.
 
Nimeona clip steve nyerere anatamka kuwa agness ameumwa pumu kwa siku nne na ndio ugonjwa ulio muua
 
Hii habari naona haijathibitishwa rasimi.
Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.
 
Mkuu usiseme haijathibitishwa ,sema hutaki kuithibitisha au hutaki kuipokea.Fuatilia mbona vyombo kibao vimereport.Nafsi yake imetengana na mwili.
Dah agiiii.
 
Back
Top Bottom