TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Heeee kumbee ndio maana nilikuwa naona shilwadu wanajiandaa kwelii,,
Naomba kuuliza Aggy alikuwa anavaa vizuri sana alikuwa ana ofisi wapi muda wote yupo kimtoko!
Na kupendeza kote kule hamuhudumii mwanae ??yatajulikana tu
Kwa sasa alikua hana kazi zaidi ya kuishi na bwana mwenye vyake aliyekua anamhudumia

Naona walishindwa kurusha kulingana na situation
 
Watu wengi huishi duniani na kusahau sisi ni wasafiri katika hii dunia, tunapita...neno la Mungu linasema;
Zaburi 90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
 
Kwa sasa alikua hana kazi zaidi ya kuishi na bwana mwenye vyake aliyekua anamhudumia

Naona walishindwa kurusha kulingana na situation
Daah shilawadu wamekomeshwaa kwa hilii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soud kama alivyoishiwa ummbea wotee
 
Hayo y
Hayo ya kutubu mi hata sitaki kujua, mimi mwenye watoto nashukuru tu, sawa tu na kibaka mkomavu mtaani akivuta. .
 
NARUDIA TENA KWA HERUFI KUBWA, MUUZA UNGA YEYOTE NI MUUWAJI TU. PERIOD.
 
Watu wanavyoshtuka ,kwann?
Hii ni kutukumbusha kwamba duniani tunspita,grt ready!

Swali ukifa unaenda wapi?
 
pombe na unga kipi hatari na kinaleta vifo vingi????,alcohol ni drugs kama unga ila serikali inapata kodi..deadly poison on earth..
Wewe ni mpumbavu kabisa, hizo opium zinazowageuza watu mazezeta ndio ufananishe na alcohol?

Kwa taarifa yako hayo maunga yasingekuwa more dangerous na kama issue ni kodi serikali zumngepata kodi zaidi kwenye maunga kuliko kwenye alcohol.

Wewe ni mjinga kabisa hujielewi.
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
 
Hata akizikwa siku ya muungano lakin atazikiwa kijijin kwao mbeya ,kwaio hatutapata fursa ya kumuaga vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…