TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar


Maisha ya Mwanadam yanasehem kuu mbili ambazo lazima uzipitie “kuzaliwa na Kifo” sote tutakufa hilo halipingiki, ila heshima ya mwisho wa maisha yako au yetu unatokana na matendo yetu tuyatendayo tukiwa hai,

Jambo hili linafanya watu wengi kujisahau na kuhalalisha alamu kuwa halali maana kipo kinapo tokea madhaifu huwa ayasemwi zaid ya mazuri maana hakuna kilicho na thaman zaid ya uhai wa mwanadam.

Saiz Bongo mitandao ya kujiuza inaongezeka kila leo na watu wanaona ni kawaida kabisa huku wakijua nin matokeo ya kufanya hivyo

Ukiingia instagram mitandao mingi ya uamasishaji wa ngono inaomboleza na kumpost picha yake, hiyo inamaana gan (mfano wewe ukiona picha ya mumeo au mkeo au ndugu wa karibu imepostiwa kwenye ac za kujiuza za mitandaoni upata picha gan)

Lazima tuthamin uhai tulio nao na sio kuuchezea.

NB
Aggy ni binadam hatuna kibali ya kujudge maisha yake maana ni ya yeye na Mungu wake
Si ajabu alitubu na kusamehewa kabla ya mauti kuliko sis tunao lia pasipo badili njia zetu mapema.
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
Labda wanataka kutunisha mfuko wa bongo movie
 
Umenena vema kiongozi
 
Mtoto anae mkuu, tena mkubwa mno, ila alikuwa anataka mumuone mbichi akawa anamficha sana..
Hakuna mwanamke anayetokea mbeya awe mzuri alafu afkishe miaka 20 bila kutolewa bikra ya kizazi..
hakumficha bali aligombana na mzazi mwenzie akamchukua mtoto na hakuruhusu mtoto awe mitandaoni
 
Maisha kujirusha ngada na ngono daima si marefu hasa Africa. Utavumaaaaa ila mwisho utapasuka tu. Hivi Aggy ni wa watu kutafuta michango ya kumzika? Mipicha yote ile kumbe account zero? Jifunzeni nyie ma staa maisha si hivyo. Mtoto wake tu yupo shule ya kata dahh.
 
Daaaa hata hakukumbuka kujenga, jamaa ake ni nani huyo atakaeachiwa mali zake
 
Kama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…