Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Ndiyo nini hiki?Waandishi wa habari mkakimbilia hospitali kuwahi picha za maiti. Wahini na Mbeya mkaonyeshe na kwa marehemu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nini hiki?Waandishi wa habari mkakimbilia hospitali kuwahi picha za maiti. Wahini na Mbeya mkaonyeshe na kwa marehemu pia.
kacheza nyingi tu na hii 'Nangoja ageuke'
Doh,kuna moja kapiga na mtoto wa ilala sikusei anaitwa sumarider nyimbo inambwa"you my lady njoo kwangu njoo udance na mi hooh," humu masogange bado mbishi kabisa,R.I.P Aggy.
kacheza nyingi tu na hii 'Nangoja ageuke'
Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..
Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..
Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
aiseee best kumbe upo kweli dunia ni sayari ndefu nimekumiss sana bestitoHeeh.....Hebu leta taarifa iliyokamilika mkuu
ushaambiwa alikuwa anaumwa sasa unatka chanzo gani tena wakati taarifa tayariDu nini chanzo? Uchunguzi huru unahitajika hapa.
nao watakufa tu maana hapa duniani tunapita sio kwetu usiumie bestInaumiza sana
Si ndio wanaohudumia wafu mkuu🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Tuambie Mkuu - unawaona wanafanyaje hao wazee wa Mochwari???🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Mkuu acha tu,nao watakufa tu maana hapa duniani tunapita sio kwetu usiumie best
Labda wanataka kutunisha mfuko wa bongo movieNaomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
umekaa kimbea mbea sana, ukishapaona kutasaidia nini??Waandishi wa habari mkakimbilia hospitali kuwahi picha za maiti. Wahini na Mbeya mkaonyeshe na kwa marehemu pia.
Umenena vema kiongoziMaisha ya Mwanadam yanasehem kuu mbili ambazo lazima uzipitie “kuzaliwa na Kifo” sote tutakufa hilo halipingiki, ila heshima ya mwisho wa maisha yako au yetu unatokana na matendo yetu tuyatendayo tukiwa hai,
Jambo hili linafanya watu wengi kujisahau na kuhalalisha alamu kuwa halali maana kipo kinapo tokea madhaifu huwa ayasemwi zaid ya mazuri maana hakuna kilicho na thaman zaid ya uhai wa mwanadam.
Saiz Bongo mitandao ya kujiuza inaongezeka kila leo na watu wanaona ni kawaida kabisa huku wakijua nin matokeo ya kufanya hivyo
Ukiingia instagram mitandao mingi ya uamasishaji wa ngono inaomboleza na kumpost picha yake, hiyo inamaana gan (mfano wewe ukiona picha ya mumeo au mkeo au ndugu wa karibu imepostiwa kwenye ac za kujiuza za mitandaoni upata picha gan)
Lazima tuthamin uhai tulio nao na sio kuuchezea.
NB
Aggy ni binadam hatuna kibali ya kujudge maisha yake maana ni ya yeye na Mungu wake
Si ajabu alitubu na kusamehewa kabla ya mauti kuliko sis tunao lia pasipo badili njia zetu mapema.
hakumficha bali aligombana na mzazi mwenzie akamchukua mtoto na hakuruhusu mtoto awe mitandaoniMtoto anae mkuu, tena mkubwa mno, ila alikuwa anataka mumuone mbichi akawa anamficha sana..
Hakuna mwanamke anayetokea mbeya awe mzuri alafu afkishe miaka 20 bila kutolewa bikra ya kizazi..
kacheza nyingi tu na hii 'Nangoja ageuke'
Kama unaamini Biblia ikitaja Yesu aliishi miaka 33 hapa duniani biblia hiyohiyo inaeleza Yesu kristo yeye aliyeutoa uhai wake mwenyewe.Hakufa natural death alitoa uhai wake kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu .Usisome bibilia nusu ukiamua kusoma biblia soma yote na ukubaliane na maneno yote ya kwenye biblia.Kifo cha mapema sio mpango wa Mungu!Mbona Jesus alidead na miaka 32 au 33 tu. Kwa nchi zetu maskini kuna sababu nyingi sana za vifo tunazosababisha wenyewe na haswa zinaloletwa na viongozi wanye dhamana ya kutuongoza. Kama hakuna madawa hospitali na wagonjwa wakafa kwa magonjwa ya kawaida hilo si la Mungu wala shetani, ni uzembe wetu. Barabara zinaharibika hazirekebishwi ikitokea ajali tumlaumu shetani? Maji safi na salama hakuna tukifa kwa typhoid tunamlaumu nani? tukiugua tunauziwa dawa zilizokwisha muda wake, nani wa kulaumu tukifa?
Kubeba kamera nayo kazi?umekaa kimbea mbea sana, ukishapaona kutasaidia nini??
Acha kuingilia kazi za watu