TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Hahaa yaani sijui anakitu gani special yule dada maana siyo kwakusikilizwa huko
Tatizo ni ufahamu wa wasikilizaji. Wangapi wansoma hata makara muhimu zaidi ya whatsapp?
 
Reactions: ABJ
..mhhh...mtoto mzuri aliyeishi maisha ya tamaa sana...kiasi cha kuhangaika Na biashara ya mihadarati....

...mtoto mashalah mrembo angeweza kupata basha yeyote tajiri akamweka ndani kama Mke....lakini ndio hivyo tamaa mbele...

....BTW ...hiki kifo cha ghafla isijekuwa ni cancer ya kizazi....ama madhara ya mihadarati!!..maana huo upungufu wa damu lazima una chanzo...

..au ndio wamemfanya kitu mbaya huko lockup kwenye issue yake ya madawa....usijekuta alipigwa mtungo hatari hadi kupata madhara makubwa,...au ngoma ..ama TB...alikwaa..

..nahisi kuna kitu mbaya kafanyiwa huyu mrembo...si bure...maana haya mambo ya kibashite yanyofanywa gizazani utawala huu ni mengi....
.
..muda utasema..RIP mrembo....
 
Maneno meengi.
Hapo bashite tu bas.
 
Huu ni ushamba na madhara ya kuwa na majobless wengi Tanzania.
Yani pipo wako desperate sana Mkuuu...
Shule walikimbia huku akili za maisha hawana ndo mana kila day wako mitandaaoni kuhangaika tuu...
Ukikimbia shule na huna akili ya maisha ndo madhara yake hayo....
 
kwani ulikuwa unatakaje mkuu tutenge siku ya mapumziko kitaifa kumkumbuka?
 
Ok, mambo ya Imani si ya kuyadiscuss sana. Nimekuelewa mkuu
 
Mkuu km hujui Yesu alikufa kwa kosa LA uhaini,
Na ndio maana adhabu yake ni kuwambwa msalabani, hata kabla yake wahalifu wengi wa uhaini na uchochezi dhidi ya mamlaka waliuawa kwa namna hiyo hiyo wakiwemo na wahalifu wengine hatari.
 
..word...nimejaribu kumjengea hoja...maana sioni mhusika mwingine hapa...hata iweje..matukio mengi ya vifo tata ..ama kutekana yanmrudia bashite....akiwemo huyu binti....hata akwilina....
Case ya akwlina bashite hahusiki kabisa
 
Huu ni ushamba na madhara ya kuwa na majobless wengi Tanzania.
Na hii kuvichukua na kuanza kusambaza na kucheka ndio inafanya hadi watu wazima wanakuwa kama vichaa,wanapata 'kichwa' na kuona masifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…