TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Jaribu kufanya utafiti wa kutosha ndo useme tusijadil icho kifo chake toka ametoka jela kakaa mda gan na amekufa
 
mkuu unaposema Aggy ni public figure upo sahihi kabisa lakini nikuukize kitu kuna public figure wangapi waliokufa ndani ya kipindi hiki cha serikali ya awamu hii? jee kwa bahati mbaya simuombei kifo Maadam Wema sepetu akifariki leo hii na madokta wakisema amefariki kichomi kilicho mpata ndani ya siku tatu na kilichomsababishia kulazwa na hadi kufariki jee napo utakataa? na kuwahusisha wafu wengine na kifo chake?
 
mi naona hii ni kwa sababu watu wamekuwa wakiamini kila kitu ambacho yule kahaba kimambi anawaambia yaani watu wamefika mahala wamekuwa kama ngo`mbe hawatumii akili zao kabisa, inasikitisha kwakweli...
 
Jaribu kufanya utafiti wa kutosha ndo useme tusijadil icho kifo chake toka ametoka jela kakaa mda gan na amekufa
usiseme tangu atoke jera sema tangu kesi yake iishe pale mahakamani na yeye kulipa ile faini ile ya millioni moja na laki tano kama sikosei alikaa muda gani?
 
Mkuu ungekuwa unaangalia ID Investigation Discovery Channel Ungefikiria nje ya box kama mshana jr.
kosa analolifanya Mshana Jr kuwa kila kitu anakichukulia kisiasa hilo ndio kosa lake kubwa. Namkubali sana Mshana Jr kwa post zake lakini kwa hili nimekataa kuwa naye kwenye gari moja maana ni kitu ambacho kipo wazi kabisa... tulipofikia sasa hata leo hii Mange Kimambi akifariki kwa matatizo yake yanayomsumbua basi kuna watu watahusishwa tu maana ndio akili zetu zilipoishia kufikilia
 
TABIA NA MATENDO YA MTU NDIYO HUFANYA AJADILIWE KWA LOLOTE LITAKALOMPATA IKIWEMO KIFO.
 
TABIA NA MATENDO YA MTU NDIYO HUFANYA AJADILIWE KWA LOLOTE LITAKALOMPATA IKIWEMO KIFO.
Tukifata mafundisho ya dini zetu mkuu marehemu wanatakiwa kujadiliwa kwa mazuri yao tu na sio uchafu walio ufanya
 
usiseme tangu atoke jera sema tangu kesi yake iishe pale mahakamani na yeye kulipa ile faini ile ya millioni moja na laki tano kama sikosei alikaa muda gani?
Aya kila mtu na mawaz yake so unachokiamni EndeleA kuamini ivyo ivyo Ila ukweli utajulikana tyu
 
MSHANA JNR HAJASEMA SASA AMESEMA UKWELI ANAOFIKIRI
 
Biblia yangu imeandikwa akikubali kufa kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu. Hakuna palipoandikwa amejiua/ametoa uhai wake yeye mwenyewe
Labda biblia yako haina hii sura .Kama inayo soma hapa,"
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu."
Yohana 10:17‭-‬18
 
MSHANA JNR HAJASEMA SASA AMESEMA UKWELI ANAOFIKIRI
Hujaisoma vizuri post ya Mshana Jr... nimesoma post zake nyingi sana lakini post zake za sasa hivi nyingi sana zimekaa Kimange Kimambi sana hatumii tunu ya ubongo wake aliyobalikiwa na Muumba katika kudadavua mambo kama alivyokiwa anafanya zamani
 
Lile kontena alilofungasha yule binti had I wakati huu siamini kama linaenda kuwa mavumbi.
Mungu akusaidie kama mtu amekufa wewe unachokumbuka juu yake ni hicho hauko salama,trust me.Mtu husema yaujazao moyo wake.
 
Umewahi kuisoma hiyo aya kwa kiingereza pia?

"17 The reason my Father loves me is that I lay down my life—only to take it up again. 18 No one takes it from me, but I lay it down of my own accord. I have authority to lay it down and authority to take it up again. This command I received from my Father.”
 
Mungu akusaidie kama mtu amekufa wewe unachokumbuka juu yake ni hicho hauko salama,trust me.Mtu husema yaujazao moyo wake.
Katika mambo mazuri aliyo kuwa nayo marehemu ni meona hilo wengine unga .ukweli upande ule marehemu alikua kabalikiwa kwa mwanaume kama Mimi akipita tu lazima nipate mfadhaiko.kufa kupo ila watz unafiki umetujaa.nakama unabisha angalia kwenye kuaga mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…