Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Dah!Apumzike kwa amani jamani,mpaka nimeogopa,siku hizi tunakufa wadoooogoAMEKUFA KWELI MASKINI
Sauzi watamkumbuka sanaRIP dada..
Washua walipiga kavu watakua na mawazo sana now!I can see the hysteria!
Ni kweliMmmh mi nasubiri source kamili
R I P Agie.Mshana chuma hicho kinakuja ofisini kwako kwa mama ngoma hamna Jokofu.Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu.
Anko Juju mi wala sitaenda. Ntampa pole tu humu
Sauzi watamkumbuka sana
Kafa na kifoKafa na nini?