TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Inasemekana ameuliwa na mh.RC, ngoja tusubiri details kamili
Huyu mtoto kuondolewa na Asthma (pumu) mvua zilizonyesha mfululizo hapo Dar na Maingu vilimuathiri sana km alikuwa na historia ya Pumu
Hapa mtoto wa kinyakyusa akionesha ufundi wake wa kutikisa mkia
kweli alijaliwa
 

Attachments

Tutende yaliyo mema,mtu kaharibu vijana wetu mitaaani kwa madawa halafu tuendelee kumsifia kwa kazi yake hata kama kafa tutaendelea kumsifia kwa yale aliyokuwa anayatenda duniani
haina shida mkuu, endelea na moyo huo maana inaonekana u mtakatifu sana.
 
NN kweli kabisa mkuu

My issue ni public channel kuendelea kuglorify victim wa sexists , drugs and politics za bei ndogo kwa namna ile

Naelewa motive yao... But not this time

Not this time


I understand your concern Chief.
 
 
Daah!!! Kwahiyo alijua anakufa, inasikitisha
 
NN kweli kabisa mkuu

My issue ni public channel kuendelea kuglorify victim wa sexists , drugs and politics za bei ndogo kwa namna ile

Naelewa motive yao... But not this time

Not this time
Wachache watakuelewa Mkuu!
Mimi nakuelewa sana!
 
Alijiua au aliuawa?
 
Hivi Madogange ndiyo nani?[emoji847]..tusaidiane kumjua wote kwa pamoja kwanza
 
Hivi, chanzo cha kifo kinasaidia nini? Kikubwa kwasasa ni kumuombea ili apumzike vyema. Yeyote aweza kufa. Hakuna haja ya kuchimbachimba na kutaka kuonekana wajuzi hata wa mambo ya kawaida. She was a normal human being.
 
vijana wa leo mjiulize na mjifunze,Agnes amefariki je ameacha Legacy gan au jambo gan la mfano na kukumbukwa zaid ya watu ku refer makalio yake makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…