TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Nimezipata fb punde..

Tusubiri taarifa zaidi.
 
Nakumbuka aliwahi kusema anatamani kuwa mchungaji.
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Uliramba msambwanda mkuu au unamana gan?
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba muigizaji wa Bongo movie Agnes Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia mapema jioni hii! Binafsi nimepatwa na mshtuko mkubwa wa kifo cha huyu binti Masogange hasa ukiangalia umri na huenda alikuwa na ndoto zake kama kijana!

Itakumbukwa pia marehemu Agnes Masogange alikutwa na hatia na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kuhukumiwa miaka miwili jela au kulipa faini ya shilingi milioni 1.5.

Agnes alifunguliwa kesi na Jamhuri mapema mwaka Jana baada ya kukamatwa na kutumia madawa ya kulevya aina ya Heroin na ya pili ni kutumia madawa ya kulevya aina ya Oxazepam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…