TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Habari ya kusikitisha baada ya masogange kufariki dunia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Usimwombe msamaha mtu mjinga. Hii habari ipo kwenye social media nyingi zingine si JF peke yake haiwezi kuwa ya kuzusha
Sipendagi utani kwny habari km hizi ndo maana nikamtaka radhi ili atulie mkuu
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Mkuu...aliwatanguliza!!
 
Kwani neno bikra ni tusi.?
Ebu waulize mashabiki wa mpira ni nani kamtoa bikra Man city msimu huu bila kupepesa maneno watakwambia Liverpool..

Kama unadhani neno bikra ni tusi ,pole sana..
 
May her soul rest in peace ..... bashite umemsababishia stress demu wetu ...ukujua hii hasari na sisi watu wa kati yulikuwa tunaitaka..... The power is not parmanent. uwepo kwa muda .

Inaumiza sana nalia kwa uchungu hiiiiiiiiiii ..
 
Mbona huyu hakutangazwa mapema ugonjwa wake? Huenda mkuu angemuonea huruma na kumpelekea mamilioni akatibiwe India.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…