TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

SASA MTEGEME KUSKIA HAYA......
MAREHEMU AMEACHA PENGO KUBWA
MAREHEMU ALIKUWA MFANO WA KUIGWA
MAREHEMU ALIKUWA KIOO CHA JAMIII
NA POLE KEM KEM

OVA
 
Labda sisimizi wamekosa ulaji maana si kwa mzigo ule
 
Huwezi jua rafiki angu kamaanisha nini. Usiseme unafki kumbe anajua zaidi
mkuu kuna watu wanadhambi kama viongozi wa mataifa "" hizo dhambi alizonazo zakawaida tu ..kutoa .mimba .kuliwa either papuchi au 0712...na ukimuona mtu anaanza kumnyooshea mwenzie kidole kuhusu kuwa mdhambi ...aisee weka pause"" Maana hakuna aliyemsafi "" vifua vyetu vimehifadhi mengi mnoo"""
 
Taarifa zooote za Mrembo masogange zilixoletwa humu zimefutwa gafla je hiii inamaanisha nini? Kama sio taarifa za kweli mnapaswa Kuzikanusha sio kufuta sasa maaana mtatuacha hewani
Ujaelewa kinachofanywa. Zinaunganishwa na Mods kuwa thread moja. Kama watu kumi wanaleta taarifa hiyo hiyo wewe hapo unaonaje?

Mungu atamuweka mahala pake Insha'Allah
 
Few people already know the real cause of death,and that will remain to be their deep secret as per their professionalism

RIP Agness, your attractive female appearence will never seem again live and alive on the surface of this planet but your beautiful images will continuee to capture peoples attention.
Usitake watu wakafa kwa pressure.
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza


Hivi ni kweli alikuwa anafanya hivyo maana mtaani wengine wanasema anasingiziwa tu.
 
Back
Top Bottom