Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angetugaia hata sie team Pasi.@Behaviourist atakua analia saa hizi.
Shoga unaujua utram wake?tehKaenda na utamu wake daah
ahaaaa na vile alisemaga na mchepuko wa nanihiiMange atasema Marehemu anataka kuzima maandamano.
Umenikumbusha mbaliYaan watu wakiwa hawakupendi utapewa lolote lile
Nimekumbuka ile sautii Agyyy
mkuu kuna watu wanadhambi kama viongozi wa mataifa "" hizo dhambi alizonazo zakawaida tu ..kutoa .mimba .kuliwa either papuchi au 0712...na ukimuona mtu anaanza kumnyooshea mwenzie kidole kuhusu kuwa mdhambi ...aisee weka pause"" Maana hakuna aliyemsafi "" vifua vyetu vimehifadhi mengi mnoo"""Huwezi jua rafiki angu kamaanisha nini. Usiseme unafki kumbe anajua zaidi
Na kuna aliowatanguliza kwa kubwia ngada alizobeba... alazwe panapomstahili.Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Ujaelewa kinachofanywa. Zinaunganishwa na Mods kuwa thread moja. Kama watu kumi wanaleta taarifa hiyo hiyo wewe hapo unaonaje?Taarifa zooote za Mrembo masogange zilixoletwa humu zimefutwa gafla je hiii inamaanisha nini? Kama sio taarifa za kweli mnapaswa Kuzikanusha sio kufuta sasa maaana mtatuacha hewani
Kumiliki wowowo kubwa kupita zote dunianiAlikuwa na ndoto gani Mkuu!??
Through Jesus Christ our Lord and Savior ...AmenMay all beings attain enlightenment.
Wanaenda kukutanaNa kuna aliowatanguliza kwa kubwia ngada alizobeba... alazwe panapomstahili.
Apumzike anapostahiliRoho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani amina.
Usitake watu wakafa kwa pressure.Few people already know the real cause of death,and that will remain to be their deep secret as per their professionalism
RIP Agness, your attractive female appearence will never seem again live and alive on the surface of this planet but your beautiful images will continuee to capture peoples attention.
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza