Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kuwa na afya njena kuliko kuwa na Hospitali mzuri!Nikiangalia reactions, yaonyesha huyu ana umaarufu wake, cha kusikitisha ni kuona mtu anapata mauti kwenye kiji-dispensary cha mwenge. Hii inaonyesha umuhimu wa kuwa na Hospitali za maana na pia kuongeza ufahamu wa watu kuachana na tiba za vichochoroni unapokuwa na matatizo ya hatari kiasi hicho.
Ingekuwa ni dhalula, ningeelewa lakini kupelekwa dispensari sijui ya mama fulani! Shame! Tujenge Hospitali tuachane na kuhangaika na ruzuku za vyma vya siasa.
kumbe alkuwa na mtoto??
AsanteSiwezi kumbishania mtu aliekua anabeba sembe, Maneno yangu hayatatanguka kwake kama atazikwa KIKRISTO bali tu akizikwa KIPAGANI
acha hizo sio kila star bali huyo dem tunamkubari kinoma mi binafsi naunga mkono hojaHivi akifa mtu maarufu unakuwa ni msiba wa kitaifa eti eeeh,
Wote mshiriki wewe na nani? Kwanini unawasemea wenzako?
Kumbe hakuna cha kugombewa? Labda nguoAahh!wapiii
Mkuu huwezi jua maisha yake ya mwisho na ajuaye siri ni yeye na Mungu wake tuSiwezi kumbishania mtu aliekua anabeba sembe, Maneno yangu hayatatanguka kwake kama atazikwa KIKRISTO bali tu akizikwa KIPAGANI
Enheee!hapo sawa!Kumbe hakuna cha kugombewa? Labda nguo
EBOO!! Tunakoelekea hadi Malaya mtataka wazikwe maziko ya kitaifaView attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.
Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
kumbe alkuwa na mtoto??
Kwa nini sio Mei Mosi?View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.
Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
Poa mshkaji wangu, tusikilizie msiba huku tukimwombea kwa Mola huku tukiachiwa funzo kama sio darasa.Enheee!hapo sawa!
Ameen!kifo ni mawaidha tosha au mahubiri tosha kwa walimwenguPoa mshkaji wangu, tusikilizie msiba huku tukimwombea kwa Mola huku tukiachiwa funzo kama sio darasa.