TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Nikiangalia reactions, yaonyesha huyu ana umaarufu wake, cha kusikitisha ni kuona mtu anapata mauti kwenye kiji-dispensary cha mwenge. Hii inaonyesha umuhimu wa kuwa na Hospitali za maana na pia kuongeza ufahamu wa watu kuachana na tiba za vichochoroni unapokuwa na matatizo ya hatari kiasi hicho.

Ingekuwa ni dhalula, ningeelewa lakini kupelekwa dispensari sijui ya mama fulani! Shame! Tujenge Hospitali tuachane na kuhangaika na ruzuku za vyma vya siasa.
Napenda kuwa na afya njena kuliko kuwa na Hospitali mzuri!
 
Video queens hawana chama chao. Kama hawa Bongo Movies wameamua kuunga nguvu basi na iwe heri.

Ila ndo wawe macho na rambi rambi.
 
Ama kweli udongo unakula vitu vizuri, rest easy aggie.
 
View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
EBOO!! Tunakoelekea hadi Malaya mtataka wazikwe maziko ya kitaifa
 
View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
Kwa nini sio Mei Mosi?
 
Back
Top Bottom