TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

unatoa ushauri ukiwa kama nani mpka waupokee ushauri wako.......yani wakae na maiti mpka 26..????
 
Kifo ni fumbo sana Ila cha masogange kimeaccha [emoji780][emoji780][emoji780][emoji780]

Eti upungufu wa damu?
Ulitaka usikie nini?kwani umeliona la upungufu wa damu tu?jengine hulioni la pumu?
 
Je home ya matimbo ndiyo Pneumonia? Madaktari wa JF tusaiidieni maana mleta mada anatuchanganya maana najua ni magonjwa mawili tofauti. Kwa habari ya kupungukiwa damu sawa na inasababishwa na hitilafu kadhaa mwilini.
 
Huyu naye ni askari! Hii Kazi ina laana Wallah!
Mawazo ya kusadikika tu ka kila jambo na ndiyo yanayowapoteza wengi kila kitu ni kudhani tu.

Na ndiyo maana hata trillion 1.5 mnadhani tu na kuandika mitandaoni wakati ukweli anao aliyeandika ripoti na jana ametoa ukweli wake.

Acheni kudhani dhani tu kila jambo.
 
Tukumbuke kila nafsi itaonja mauti,Nasi yapo mbele yetu,Watu wanashangaa sana uyu binti kufariki wakati kuna kuna mitume ilikuwa na kheri kutuzidi sisi lakini wameshatangulia mbele za haki
 
Mawazo ya kusadikika tu ka kila jambo na ndiyo yanayowapoteza wengi kila kitu ni kudhani tu.

Na ndiyo maana hata trillion 1.5 mnadhani tu na kuandika mitandaoni wakati ukweli anao aliyeandika ripoti na jana ametoa ukweli wake.

Acheni kudhani dhani tu kila jambo.
Nakufahamu kaka, yaani ukitaka nitoe na picha yako natoa.
 
N video Queen na n mwigizaj
Acha waungane wote Kwa pamoja
Wampunzishe mwezao
 
Back
Top Bottom