Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Sifa za danga.
1. Uwe na fedha za kutosha. Ukiombwa gari mara moja tunaenda showroom. Ukiombwa kiwanja fasta unalipia na kunikanidhi hati.

2. Uwe ni mtu wa tungi, shisha, viwanja na safari za kwenda nje huko.

3. Uwe na biashara zaidi ya moja zinazokuingizia kipato kikubwa hapa nchini na nje ya nchi.

4. Unaweza kuwa na mwenza wako na familia lkn sharti uwe na muda wa kutosha wa kunipeleka viwanja.

Nimamaliza!

N.B . Waajiriwa/wafanyakazi mpite kushoto kabisa!!. Ninyi mnalialia na mabango yenu kila mei mosi siwataki hamna hela.
 
Du, yaani ina maana CAG naye ni sukuma Gang? Sasa kama vitu vya kweli navyo vinafanyiwa siasa, basi nchi ina shida. Wengine hatupo chama chochote lakini walioiba/kuchukua pesa yetu wanafanya vibaya.
Jiwe alivuobeba 1.5 trilioni mbona hukulalama??

Kalemani aliposaini na kuidhinisha bilioni 6 zikalee vyuara US mbona hukulalama??
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Wewe kila mtu anayemkosa huyo mama yako wa ushungi basi ni Sukuma gang kwako? Acha hiyo character asssass…,,,, ongelea point, sitakuwa na bias ati Kwa sababu JPM alikuwa wa dini hii au ile, ufisadi ni ufisadi tu, lazima upigwe vita, umeonyesha kuwa huna human quality ulikuwa ni victim
 
Hata bilioni 6 za vyura alizo saini Kalemani wakati Rais Magufuli mwaka 2020 wanajaribu kumuangushia January na Samia..
Mchezo huu tumestukia mapema..
CAG ripoti inasema huo mkataba umesainiwa mwaka 2020...wao hawamgusi Kalemani kabisa
Mmestukia mapema wewe na nani? Kwa nini hamuamiagi huko Tunisia Kwa wenzenu halafu wanawafukuza ati mnaharibu demography ya Tunisia?
 
manunuzi ya ndege ya mzigo kutoka 57 $mil hadi 86 $ mil,
Hizi hela zinaikaribia 1.5 trilioni? Zilipokwapuliwa 1.5 trilioni na jiwe mlipaswa kuandamana na kumuondoa madarakani.

Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
 
Wewe kila mtu anayemkosa huyo mama yako wa ushungi basi ni Sukuma gang kwako? Acha hiyo character asssass…,,,, ongelea point, sitakuwa na bias ati Kwa sababu JPM alikuwa wa dini hii au ile, ufisadi ni ufisadi tu, lazima upigwe vita, umeonyesha kuwa huna human quality ulikuwa ni victim
Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe 1.5 trilioni na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
 
Duh! Kwa hiyo kitu kama "over invoicing" ya manunuzi ya ndege ya mzigo kutoka 57 $mil hadi 86 $ mil, tunyamaze kwa sababu Sukuma gang nao wanaipigia kelele.! Kwa hiyo nchi nzima tunyamaze kwa point za kijinga kama hizi!

Hapa unamtetea nani?
Over invoicing haikulipwa ndugu. Ilishtukiwa mapema. Na huo ndio uongozi tunaoutaka, uongozi wa kuzuia wizi.
 
Kama hamkufanya hivyo kwa jiwe aliyeiba mwenyewe 1.5 trilioni na kumfukuza prof. Assad kwa kuziweka kwenye ripoti, hamna uhalalli wa kupiga kelele hivi Sasa. Mnaonekana wanafiki mliojaqa chuki binafsi.
onesha ushahidi wa mali yoyote kaacha huyo marehemu yenye nusu thaman ya 1.5B
 
Mmestukia mapema wewe na nani? Kwa nini hamuamiagi huko Tunisia Kwa wenzenu halafu wanawafukuza ati mnaharibu demography ya Tunisia?

Tunisia na ripoti ya CAG vimeingiaje?
We ni msomi kweli?
CAG anasema mkataba WA vyura Marekani umesainiwa mwaka 2020..
Wewe Hilo nalo utapinga?..
Wewe utahamia wapi?au wewe Una haki zaidi ya kuhamisha wengine ??
Selective outrage sio kitu kipya
 
Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG??

Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi?

Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga sana makelele ili mama ayumbe na kufanya maamuzi ya papara kisha waje washangilie siku za usoni.

Mama ameondoa uuaji, uporaji, kupiga watu risasi, utekaji na ubaguzi wa kisiasa. Mama ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Mama ameifungua nchi. Mama amewafanya wapinzani kuwa ndugu. Halafu Kuna sukuma gang linapanua mdomo kumlaumu mama kwa ripoti ya CAG???? Ebo!

Mama tuliza akili yako, jipe muda na ufanye kile nafsi yako inakutuma, ikibidi nyamaza kimya. Hakuna wa kukufanya chochote.

Nimemaliza!
Mkuu
Endelea kusaka danga kule

Huku tuachie madanga turaruane kwa hoja
 
Back
Top Bottom