Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Your highest level kabla hujaanza kufanya kazi.
 
Your highest level kabla hujaanza kufanya kazi.
Mkuu nilipomaliza tu form four nilipewa dili fulani bandarini kulikuwa na ndugu yangu pale upande wa uhasibu. Nikapiga pesa ya fasta then kuna rafiki yangu alikuwa na biashara ya spea za mabasi pale Ubungo terminal ilikuwa inalipa sana nikawekeza vijisenti kidogo nikapata faida ya fasta ndo nikafanye zoezi la ujenzi mkuu.

Baadae ndo nikaendelea na masomo yangu baada ya kuweka mazingira sawa. Kwa ufupi tu baada ya kutoka bandari nilipewa shavu jingine JNIA nikapiga piga kazi ndo nikaona niendelee na masomo mkuu.
 
Famchezo bila picha
Nilikuuliza umeona kina meghan wamenyang’anywa nyumba walopewa kwenye kasri
Duh niliona my nikataka kureply nikawa tight tena hadi nikasahau!

Eeh mwaego mshua kawanyang'anya geto, ila kawakaribisha kwenye coronation [emoji849]
 
Wametolewa. Ujue jamaa akaenda kuchafua damu Safi na yenye akili na damu chafu ya kinasaba za kisokwe ,jamaa alizingua alistahili kuuliwa kabisa akaaibisha mno Koo ya kifalme
Acha mambo ya kingese basi...kwahiyo we ni sokwe

Hivi kwanini waafrika mnapenda kujidharau hivyo?
 
Sasa mmewapa kitu mnakichukua tena
Ndio ishatokea mambo ya ubaguz wa rangi yashapitwa na wakati
Aliyewapa ni bibi na bibi kasepaa Soo??[emoji849][emoji849]

Kifuatacho ? Confiscated
 
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. 😀 😀 😀!

Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
 
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. [emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
We bora hata una mpango... Mie na miaka yangu hii 60 na ushee sina hata hilo wazo wala uwezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…