Nina miaka 50, Januari 2023 nimefanikiwa kununua kiwanja.Mkuu mkianza kushindana au kulinganisha vitu, basi mtakuwa mnakosea Sana.
[emoji117]Kila mtu Ana jikuna ana poweza
[emoji117]Vipato vya watu havilingani
[emoji117]Kila mmoja ana malengo na vipaumbele vyake
Kumbe Asante na je ukiamua kuweka hivo ukiacha Kwa miez km nane bila kupaua Haina athari yoyote??
Duh!..Inategemea umejenga nyumba ya aina gani, gharama gani na eneo gani. Sio kwamba wengi wanashindwa kujenga au hawana hela ila hawataki kujenga vibanda vya kujikinga na mvua, kujenga eneo mvua ikija utafute ngalawa na nyumba paa limenyanyuka kama mnara wa babeli!
Utajenga tu mkuu ukiamua...hujachelewa hata kidogo.Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. π π π!
Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
Yes is One of the human Indicators development, ukiona jambo wengi wanashindwa we ukaweza ujue ni mafanikioHivi kujenga nyumba ni kufanikiwa?!
πππ Kijana passport yako ya mbinguni itasumbuaYesu Mwenyewe mpaka keshokutwa yupo kwa Baba yake .
Kwanza Duniani tunapita .... Tusipeane stress
π π π
Unafikiri mbinguni guest house kila mtu anakwenda?Wekeza Amana zako mbinguni. Duniani tunapita
Hayo ni mapendezo tu. Unaweza anza unavyotaka wewe either kuweka grill au kusubiri upaueNje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?
Mafanikio katika maisha ya mwanadamu ni mengi hata kumiliki simu ya smart ni mafanikio. Wangapi wanazo?Hivi kujenga nyumba ni kufanikiwa?!
πππ Shetani hebu acha Nongwaπππ Kijana passport yako ya mbinguni itasumbua
Unafikiri mbinguni guest house kila mtu anakwenda?
Sasa usiseme wenzako wamechelewa kulinganisha na mwingine jiangalie wewe kwanzaMie Nina 68yrs bado niko kwenye upangaji mkuu. Labda Nina nyumba ya nyasi Kijijini kwetu
Wewe umedandia komenti mkuu hebu Anza kuanzia nyuma ndio utajua Ni kwa Nini nimeandika ivyo namie sio kuwa Ni mtu wa majigambo. Na ndio Mana nimeandika ivyo ili uridhikeSasa usiseme wenzako wamechelewa kulinganisha na mwingine jiangalie wewe kwanza
mzima sana bestNipo kipenzi mzima?
Poa poa karibu sanamzima sana best
Kama mimi tu ingawa haijaisha ila nmehamia kigumuHongera sana. Nimejenga nyumba nikiwa na 28 years old. Kuna nyingine naomba niinalize kabla sijavuka hiyo 35 years old. Mungu ni Mwema maisha ni mipango. .
Mungu atakujahalia umalize. Kikubwa afya njema. .Kama mimi tu ingawa haijaisha ila nmehamia kigumu
Sawa kabisaMungu atakujahalia umalize. Kikubwa afya njema. .