Nchiyangu_furahayangu
Member
- Aug 25, 2025
- 30
- 6
"Utajiri wa kwanza kwa mwanadamu ni afya."
Mgombea wa nafasi ya Urais, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameeleza:
"Serikali itaanza kugharamia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo, hususan kwa magonjwa yasiyoambukiza kama vile Saratani, Figo, Moyo, Kisukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu. Haya ni miongoni mwa magonjwa yenye gharama kubwa ambayo kwa muda mrefu wananchi wasio na uwezo wamekuwa wakishindwa kumudu gharama zake."
Hii ni hatua thabiti inayoonyesha dhamira ya dhati ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kubaguliwa kwa sababu ya kipato.
#haijawaikutokea #ccmtanzania #ikulumawasiliano #oktobatunatiki