Hao wajinga waliwaoLeo naona neno "Ulofa" upo nalo sana. Nikuongezee na hili la "bwege mtozeni"
Wazaramo husema "kalaghabao na ubozi wako"πππ
halafu sheria ya Tanzania iko wazi mno juu ya jambo hilo rahisi na la kawaida sana la kidipolomasia πNdo utuelimishe sisi ndezi tuelewe ukute hata ww huelewi umeandika TU hapa
Tupate kwanza kufahamishwa utaratibu ulivyo kwanza?
Je Raia wa kawaida anaweza kupatiwa hiyo hadhi kwa mujibu wa taratibu zilizopo?
Kama wamelogwa hivi... Hata mume aliyelishwa limbwata hawi kama waoππHao wajinga waliwao
Ova
Nimechimba mahali hii ni list ya watu wenye hadhi ya kupewa hiyo passportNajua... Lakini Uraia si jambo dogo kuliko hiyo Pasipoti ya kidplomasia.
sheria ya Tanzania iko wazi sana dhidi ya wanaostahili aina hiyo ya passport gentleman, na hayupo wa kukupoka ispokua sheria yenyewe πWe hujuwi kitu, wakati alipoingia magu watu wengi waliyokuwa na pass za kidiplomasia bila kuwa na kigezo hadhi ya kuwa nayo waliambiwa wazirudishe
Watu walizitumia kwa manufaa yao tu na wengine walikuwa wanaburuza sana mizigo haramu
Kisa wana diplomatic pport
Ova
Ndio!..Tatizo ni Uislam??
Watu waliburuza bana wakiwemo wasaniiKama wamelogwa hivi... Hata mume aliyelishwa limbwata hawi kama waoππ
timu ya malofa ikikutana kupotoshana kindezi ndezi, ni Lazima uwape maua yao katika ujumla wao gentleman πLeo naona neno "Ulofa" upo nalo sana. Nikuongezee na hili la "bwege mtozeni"
Wazaramo husema "kalaghabao na ubozi wako"πππ
Tueleweshe Wewe mjuzi nyie mnaojuaga kila kitu Muchnowmalofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dah
ama kwa hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene π
Kichwa pumbu babu yako nyerere alikuwa anatembeza wazazi wangu na nguo za viraka, na kusubiria sukari kwenye foleni, mshenzi yule mzee bora alikufa kwa saratani.....Mwinyi, Kikwete na Samia ndio wameharibu nchi
Huko kwakina GSM umeenda mbali sana wakina baba levo na wenzake wanaingia US kama wanaingia makambako vile daily yani.Mwambieni Mange, KHARIB WA GSM akitaka kuingia USA anaingia kama muwekezaji na anapata Visa faster tu, hivyo hivyo kwa Mo, Rostam nk.... Sisi watoto wa Tandika visa ya USA lazima tukaroge na kuwasha ubani sana.
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
We Nyau Visa sio Passport. Unaweza ukawa na passport ukanyimwa Visa.Mwambieni Mange, KHARIB WA GSM akitaka kuingia USA anaingia kama muwekezaji na anapata Visa faster tu, hivyo hivyo kwa Mo, Rostam nk.... Sisi watoto wa Tandika visa ya USA lazima tukaroge na kuwasha ubani sana.
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Diplomatic pp anapewa mtu mwenye hadhi ya kidiplomasia tusheria ya Tanzania iko wazi sana dhidi ya wanaostahili aina hiyo ya passport gentleman, na hayupo wa kukupoka ispokua sheria yenyewe π
Baba yake mnec
Wewe acha hzo mimi role model wangu ni MuddyJina lako linasadifu