Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

Tupate kwanza kufahamishwa utaratibu ulivyo kwanza?

Je Raia wa kawaida anaweza kupatiwa hiyo hadhi kwa mujibu wa taratibu zilizopo?
Hawezi kupewa. Hiyo inatolewa kwa viongozi wakuu wa serikali pamoja na waheshimiwa wabunge , mawaziri, maofisa wa ikulu maafisa wa serikali wenye hadhi maalumu.
 
Shida kubwa ya Mwafrica wa Tanzania nimegundua ni umasikini, ulimbukeni na akili za kitumwa.

Hawa jamaa zetu wamegundua dawa nikuwamwagia hela hawa waswahili na kuwapa majumba ughaibuni halafu unawaslave wenzao kupitia ujinga wa ndugu zao.

Kwa sababu ya ulimbukeni wa Mali na maisha duni kwenye ukoo waswahili wengi wanakimbilia kwenye high life za kupewa na kuiweka rehani nchi yao ilihali wakifa huo utajiri unaishia kizazi cha kwanza tu maana familia nzima unakuta ni malimbukeni na sio business oriented community inayoweza kugenerate generation wealthy..

Muarabu Muislamu hawezi kukupeleka peponi, bali kuuishi kwako Uislamu ndio kunaweza kukupeleka peponi, Uislamu ni dini na Uarabu ni kabila tu.. Muarabu hawezi kuwa ndugu yako mweusi bali mweusi mwenzio ndio ndugu yako.
Mzungu Mkristo hawezi kukupeleka peponi wala kuwa ndugu yako kama anavyoweza kuwa mweusi mwenzio.
Tuache kutesa WA Africa weusi wenzetu kwakuneemesha weupe wasiotuthamini wala kuwaza future za Mataifa yetu zaidi ya kutafuna mali zetu na kuhamisha hela.
Muarabu na Mzungu Africa au Tanzania kwao ni shamba tu na mwenye jukumu la kuijenga na kukuza uchumi wa Tanzania ni Mtanzania mwenyewe mweusi kutoka Kazuramimba.

Tuamke tuipiganie nchi yetu dhidi ya uharamia.

ndani ya Kabul Afghanistan.
 
Rostam sidhani kama hata ana dini, ameka ki-atheist.
 
timu ya malofa ikikutana kupotoshana kindezi ndezi, ni Lazima uwape maua yao katika ujumla wao gentleman 🐒
Wakuu wa mikoa, wilaya,das,sjui
Ras wao tu hawana hadhi ya kuwa diplomatic pp,wao wana service pasport(passport za utumishi)sasa huyu kama inasemekana anayo kaipataje ??
Hyo diplomatic pp

Ova
 
Picha za Artificial Intelligence hizo
Mange kaingizwa choo cha kiume
Mada nzima wewe ndio mwenye akili
Huu mtandao umejaa vichwa pumbu wengi sana, na bado wanaupeleka uzi kwa kasi ya 10G, kwa kuwa wanataka kusikia tope kichwani mwao zinavyotaka
 
halafu sheria ya Tanzania iko wazi mno juu ya jambo hilo rahisi na la kawaida sana la kidipolomasia 🐒
Weka hapa sheria inayomtaka mtu kupewa hadhi ya kuwa na pasi ya kidiplomasia acha longolongo.
 
Hii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
Tanzania imeharibiwa na hao watu. Hawana uwezo. Baada ya Mkapa akaingia JK nchi ikaoza. Baadae JPM akaboreshq….. now samia nchi inaoza
 
sheria ya Tanzania iko wazi sana dhidi ya wanaostahili aina hiyo ya passport gentleman, na hayupo wa kukupoka ispokua sheria yenyewe 🐒
Soma hiyo sheria ipo hapo juu na hakuna sehemu alipotajwa mfanyabiashara au raia yeyote kupewa hadhi hiyo. Acheni usenge kmamaaee.
 
Kakosea kufanya hivyo
Kwani utafanya nini?Hategemei wewe kupiga kura ili kumuondoa anàyemlinda,kura yako ni ushiriki tu wa uhalalishaji kua huwa kuna desturi ya kupiga kura.
 
Hawezi kupewa. Hiyo inatolewa kwa viongozi wakuu wa serikali pamoja na waheshimiwa wabunge , mawaziri, maofisa wa ikulu maafisa wa serikali wenye hadhi maalumu.
Rais,marais wStaafu,VP,PM,rais smz,AG,CJ,mabalozi,,ps,mawazir+manaibu, maafisa tpdf, igp cdf, aide de campe wa rais,msajili wa vyama siasa,dgtiss,dg pccb,speaker na karani wake,wastaafu marais,wastaafu VP,wastaafu PM
Sasa huyu kama kaipata kaipataje na kwa vigezo vp

Zaidi hapo pesa imeongea tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…