Pre GE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.

Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.

===

Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;

- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
 
Source: Clouds media
Kwani kawakosea wakristo na waislam? Zile zilikuwa ni kejeli kwa Samia hivyo ndiye anayepaswa kuombwa msamaha.
 
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.

Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.

===

Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;

- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Huyo atakuwa ni kiongozi Mkuu wa Machawa wote Nchini !

Njaa ikikaa kichwani ni shida sana 🙄
 
Wanaume wa kizazi hiki Mungu atusaidie sana, tabia za kujikombakomba na kujipendekeza zilikuwa ni tabia za kike, ila kwa sasa sisi wanaume ndio tunashika namba za juu katika uchawa.
Nakubaliana na wewe. Zamani mwanaume akijipendekeza jamii ilikuwa inamuona ni mtu wa hovyo kweli kweli. Siku hizi kibongo bongo wanaitwa ma-celebrity! Nina uhakika hata kukunjwa wanaweza kukunjwa kwa sababu tu ya fedha.
 
Omba radhi kwa Muumba wako kabla hajagathabika... na Huyo Raisi pia ajitokeze aseme kwamba yeye sio kama Yesu wala Mtu ( s.w.m)
 
Back
Top Bottom