Pre GE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

Pre GE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machawa ni wapambe nuksi wanamuwashia mama moto na ubarakala wao
Kuna siku watamwita mungu kabisa
 
Mkuu mazingira ya wakati ule, huyo Profesa alikuwa chawa wa kihindi vibaya kwa Magufuli.

Kisaikolojia haikuwa bahati mbaya, ndivyo alivyokuwa anampercieve Magufuli!!!

That guy is a learned Old man aliye badili hekima na utu wake kisa cheo!! Hukumbuki shukran yake kwa kutolea Jalalani!!
Mbali na huko kutamka hivyo je kuna yapi aliyokuwa akifanya yenye kukufanya useme kuwa alimuona Magufuli kama Mungu?
 
Back
Top Bottom