johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😀😀😀Ukishapata Hela baada ya kujifanya chawa omba RADHI😀😀😀
Kwani kawakosea wakristo na waislam? Zile zilikuwa ni kejeli kwa Samia hivyo ndiye anayepaswa kuombwa msamaha.Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.
Source: Clouds media
Tofautisha Kati ya Mungu na munguAnaomba radhi ya nini, wakati wapo walio muita Rais mungu na hawajawai kuomba hata radhi...😜
John,Tofautisha Kati ya Mungu na mungu
Mungu wa Mbinguni alimwambia Musa " Usiwe na miungu wengine ila Mimi"
Wapo Watu " mungu" wao ni ng'ombe 🐼
Huyo atakuwa ni kiongozi Mkuu wa Machawa wote Nchini !Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.
===
Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;
- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Mungu wa Mbinguni ni Mmoja tu " M"John,
Utofauti wa mungu na Mungu ni upi?
Nakubaliana na wewe. Zamani mwanaume akijipendekeza jamii ilikuwa inamuona ni mtu wa hovyo kweli kweli. Siku hizi kibongo bongo wanaitwa ma-celebrity! Nina uhakika hata kukunjwa wanaweza kukunjwa kwa sababu tu ya fedha.
Wanaume wa kizazi hiki Mungu atusaidie sana, tabia za kujikombakomba na kujipendekeza zilikuwa ni tabia za kike, ila kwa sasa sisi wanaume ndio tunashika namba za juu katika uchawa.
Na Katiba ya Hapo Chadema? 🐼..Ahmed Kombo hakukosea ktk matamshi yake.
..ukitathmini KIKATIBA, Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kimungu-mtu.
Alkasusu 🐼Hivi wanakunywa nn hawa?
Kama huyu Lucas Mwashambwa
Wanaume wa kizazi hiki Mungu atusaidie sana, tabia za kujikombakomba na kujipendekeza zilikuwa ni tabia za kike, ila kwa sasa sisi wanaume ndio tunashika namba za juu katika uchawa.