Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wanaume wa kizazi hiki Mungu atusaidie sana, tabia za kujikombakomba na kujipendekeza zilikuwa ni tabia za kike, ila kwa sasa sisi wanaume ndio tunashika namba za juu katika uchawa.
Vinginevyo parapanda itamhusuOmba radhi kwa Muumba wako kabla hajagathabika... na Huyo Raisi pia ajitokeze aseme kwamba yeye sio kama Yesu wala Mtu ( s.w.m)
Mungu si wa kulinganishwa na Chochote humu Duniani, peponi wala ahela. Na Ni mungu mwenye wivu sana. ukifuatilia watu walio toa kauli kama hizo historia inaonesha ni nini kilitokea kwao... Parapanda italia haraka sana. Mtoa kauli na mlengwa wasije sema hawakujua.Vinginevyo parapanda itamhusu
Kama wewe unavyotafuta umaarufu wa kinguvu JF na kuandika uzi wa kumkashfu DC na kuukashfu uumbaji wa Mungu kwake. Mkuu waswahili wanasema, hujafa hujaumbika.Sema jambo la hovyo ili watu washangaye na wakujue, ukipata umaarufu omba radhi.
Kanuni ya kindezi sana hii, kuna mtu atakuja kuvuta nguo abakie uchi uwanja wa taifa
Samia anafanana na Mohammad na Yesu?? Uko serious kweli?Kama wewe unavyotafuta umaarufu wa kinguvu JF na kuandika uzi wa kumkashfu DC na kuukashfu uumbaji wa Mungu kwake. Mkuu waswahili wanasema, hujafa hujaumbika.
Kutakuwa Kuna mkwara umepita si bureπππ
Wiki ya kuomba radhi alianza Mwijaku na sasa Kombo
Yule profesa mwenye macho kama bundi alimuita dhalim Mheshimiwa Mungu naye dhalim hakukemea kufuru ile wote tunajua jinsi alivyokufa kibudu.Mungu si wa kulinganishwa na Chochote humu Duniani, peponi wala ahela. Na Ni mungu mwenye wivu sana. ukifuatilia watu walio toa kauli kama hizo historia inaonesha ni nini kilitokea kwao... Parapanda italia haraka sana. Mtoa kauli na mlengwa wasije sema hawakujua.
Cc: Maulid wa kitenge, Lucas mwashambaNakubaliana na wewe. Zamani mwanaume akijipendekeza jamii ilikuwa inamuona ni mtu wa hovyo kweli kweli. Siku hizi kibongo bongo wanaitwa ma-celebrity! Nina uhakika hata kukunjwa wanaweza kukunjwa kwa sababu tu ya fedha.
Hao wote hapo ni no rinda.
Na machawa wote wana vimelea vya πAnayetakiwa kuomba radhi ni Samia aliyegawa fedha za uchawa
Shuguli yao kubwa ni kujikomba
Wanaume wa kizazi hiki Mungu atusaidie sana, tabia za kujikombakomba na kujipendekeza zilikuwa ni tabia za kike, ila kwa sasa sisi wanaume ndio tunashika namba za juu katika uchawa.
Wanafumuliwa sana ndiyo maana hawana aibu kama walivyo machangudoa tu.Shuguli yao kubwa ni kujikomba
Huyo hata kupasuliwa rinda atakubali
Ova
Tofautisha kuchapia, hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema "ccm wenzangu" ila watu hawakuifutilia kwa sababu wanajua alichapia tu.Anaomba radhi ya nini, wakati wapo walio muita Rais mungu na hawajawai kuomba hata radhi...π
Alichapia na si kwamba alisema hivyo.Yule profesa mwenye macho kama bundi alimuita dhalim Mheshimiwa Mungu naye dhalim hakukemea kufuru ile wote tunajua jinsi alivyokufa kibudu.
Mwijaku kang'ang'aniwa.πππ
Wiki ya kuomba radhi alianza Mwijaku na sasa Kombo
Ungesema alichapia na si kwamba alimaanisha hivyo ningekuelewa lakini hapo 'si kwamba alisema hivyo' si kweli kwani maneno hayo yalitoka very clear kinywani mwake.Alichapia na si kwamba alisema hivyo.