FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni.
Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja tukaanza kutukanana, mwisho Rais wetu anatukanwa, anaitwa majina ya hovyohovyo, ukabila ukaanza kuingia, udini ukaanza kujikita. Ikawa kila Muislam ni mdni na ni Mwarabu.
Tunamuomba Maxence Melo na ""Contents managers" wote wa JF, msituonee haya, mkiona post au uzi unaoleta mfarakano ufungieni mara moja.
Kwa uzoefu wangu wa JF, nnajitolea; Kila ntapoiona post ambayo ina lugha chafu au inaweza kuleta machafuko ya hali ya hewa ndani ya JF ntairipoti kwa uongozi wa JF.
Hongera sana Wambura.