Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

Naisoma vyema post yako ambapo between lines umeweka ilani kali wa JF na uongozi wake.

Na ile sheria ya kinga mliyoipitisha kwa kishindo, soon wakosoaji watakuwa wanatua montuary kwa sababu safari hii kila mkosoaji mmempa brand ya mhaini.

Safari ni hatua au siyo bi mdash?😀
Waanze kujizowesha kuishi visiwani.
 
We mama si ulishakula ban, umerudi lini na kuanza kuunga mkono mkataba ule tata?
 
Mbwa wanabweka kupinga wanaojaribu kupinga ulaji wao.
 
Tukosowane kwa heshima na adabu.
Inawezekana kukosoana kwa heshima ikiwa mkosolewaji ni mara yake ya kwanza kuboronga.

Na ikiwa ameboronga zaidi ya mara moja sidhani kama mkosoano wa heshima utakuwepo.

Hapo mkosolewaji anatakiwa kuachia ngazi tu kwa kuwa akashindwa kazi, hiyo ndiyo heshima yake pekee.
 
Tumpe hongera zake Wambura, hata JF tumeanza kutia adabu, lugha zimebadilika.
 
mdini nambari one wa JF, tunajua mkataba wa DP angekuwa ni JPM au Mkapa ungepinga, lakini unategemea nini kwa mtu anayeamini Tanzania iwe nchi ya kiislam, akili za huyu bibi ni ovyo sana, sasa nenda kaniripoti tena ili nipigwe ban kama ulivyofanya mara ya kwanza
 
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni.

Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja tukaanza kutukanana, mwisho Rais wetu anatukanwa, anaitwa majina ya hovyohovyo, ukabila ukaanza kuingia, udini ukaanza kujikita. Ikawa kila Muislam ni mdni na ni Mwarabu.

Tunamuomba Maxence Melo na ""Contents managers" wote wa JF, msituonee haya, mkiona post au uzi unaoleta mfarakano ufungieni mara moja.

Kwa uzoefu wangu wa JF, nnajitolea; Kila ntapoiona post ambayo ina lugha chafu au inaweza kuleta machafuko ya hali ya hewa ndani ya JF ntairipoti kwa uongozi wa JF.

Hongera sana Wambura.
Ww huwa sio muislamu wala sio muarabu .huwa tunapambana na ujinga na udini wako.usiwaingize waislamu wala waarabu kwenye hili
 
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni.

Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja tukaanza kutukanana, mwisho Rais wetu anatukanwa, anaitwa majina ya hovyohovyo, ukabila ukaanza kuingia, udini ukaanza kujikita. Ikawa kila Muislam ni mdni na ni Mwarabu.

Tunamuomba Maxence Melo na ""Contents managers" wote wa JF, msituonee haya, mkiona post au uzi unaoleta mfarakano ufungieni mara moja.

Kwa uzoefu wangu wa JF, nnajitolea; Kila ntapoiona post ambayo ina lugha chafu au inaweza kuleta machafuko ya hali ya hewa ndani ya JF ntairipoti kwa uongozi wa JF.

Hongera sana Wambura.
Uhuni unasema kauli. Safari hii hawataweza. Samia siyo Magufuli na Wambura siyo Sirro.
 
Back
Top Bottom