Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

makuwadi ya dpworld kanda ya ziwa yamekataliwa yameanza kutumia wanengua viuno lakin wapi na bado 2025 lazima akili ziwarudi.
 
Mtatulia kaburini na wambura wako kama jiwe lilivyotulia
 
Binadamu wote hatulingani kwa kweli. Ubongo wako ni wakipekee na unadhihirisha level yako ya ujinga kwa kweli. Mungu akuhurumie maana hujui usemalo..!!
 
Mwabukusi ni shujaaa wa Taifa
 
Kwaiyo Samia ni Dikteta kama Magufuli na Wambura ni katili kama Siro.
Tusisikie humu JPM anasemwa kwa udikteta!
 
Kwaiyo Samia ni Dikteta kama Magufuli na Wambura ni katili kama Siro.
Tusisikie humu JPM anasemwa kwa udikteta!
Wambura kaleta karudisha amanai na utulivu ndani ya saa 24 toka atangaze.


Nnauhakika walikuwa hawajakaa tu, intelijensia ilikuwa kazini mpaka muda mafaka ulipofika..
 
WANAOGOPA kivuli Chao wenyewe, ugawe bandari za Tanganyika, za Zanzibar zisiwemo, Kisha utengeneze kitisho Cha kunyamazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…