Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

Udini umekujaa tu! Nchi inaendeshwa kuangamia unafurahia. Inasikitisha sana hasa udini ukitawala na vilemba vikishika hatamu nchi inaangamia
 
Hovyo kabisa umeandika pumba tupu mjadala wa bandari tunauendeleza mpaka kieleweke

Msitutishe
 
Ndugu Lucas mwashambwa una lipi la kuchangia?
Amani na utulivu wa nchi ni lazima ulindwe kwa nguvu zote ,kwa jasho na damu . Serikali haipaswi hata kwa sekunde moja tu kuwaacha watu wakitamba kwa kutoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha machafuko nchini pasipo kuwachukulia hatua za kisheria.Ni lazima wazolewe wote na kutupwa ndani kwa mahojiano ya kina .Hakuna kumuonea haya mtu wala kumuogopa mtu katika suala linalogusa usalama wa Taifa letu.
 
Ogopa sana mfia dini ambae hana akiliii yanii ni gaidi sema tu suala la mudaa...!
 
Wewe lugha zako chafu kwa ukristo unaziona.?? Nyani haoni..?
 
Ndumilakuwili na udini kazini... kuna tofauti gani na mlivykuwa mnapinga awamu ya 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…