Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

Mohamed Picha iko wapi?
Bush...
Nakusudia historia nilizoandika hapa siku za nyuma na kuweka picha.

Mfano wa picha hii:

1733077235230.jpeg

Dome Okochi Budohi Kadi yake ya TANU ni No. 6​
 
Tafsiri ya Picha inaweza kuwa distorted pia mfano namba 6; Inategemea perception yako mwingine anaweza kuangalia kwa upande mwingine akaona kwamba ni 9; Sasa mleta habari aliyehadithiwa inategemea alihadithiwa na mtu wa upande gani (chini au juu); Au alihadithiwa na watu waliochelewa kuja na kumbe hio haikuwa sita wala tisa bali ni nane iliyofutika kidogo
 
Log...
Lakini hapo hakuna picha ya namba 6.
Hapo kuna picha ya Dome Okochi Budohi.

Dome Budohi ni Mluya kutoka Kenya na alikuwa na kadi ya TANU No. 6.

Hukuwa unalijua hili wala waliooandika kitabu cha historia ya TANU Chuo Cha CCM Kivukoni hawaijui historia hii.

Wewe huijui historia hii.
Mimi naisomesha historia hii ili tuwe na historia iliyokamilika.
 
Much...
Naam historia ya mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika haikupatwa kuwepo.

Hiyo ndiyo sababu ya mimi kuiandika baada ya kuitafiti.
Unadhani nimefanya kosa?
Huna kosa lolote mzee story zako naamini ni za kweli Kwa asilimia tisini na Tano ila pia Kuna some exaggeration mfano ushawahi msikia shekhe Ilunga?
 
Historia hii haikupata kuandikwa popote kwa hiyo wewe hukuwa unaijua.

Ajabu sasa na hapa kuwa unanishutumu kuwa nimeongeza mambo katika historia hiyo yaani kuna ''exaggeration.''

Huoni kuwa hayo ni maajabu wewe kunishutumu kwa kitu wewe hukijui?
Kuhusu Ilunga:

1733108658719.png
 
Sasa huyo mafundisho yake yalikuwa ni kuradicalize vijana wadogo waanzishe Fujo za kidini ushawahi andika Hilo?
 
Much...
Historia hii haikupata kuandikwa popote kwa hiyo wewe hukuwa unaijua.

Ajabu sasa na hapa kuwa unanishutumu kuwa nimeongeza mambo katika historia hiyo yaani kuna ''exaggeration.''

Huoni kuwa hayo ni maajabu wewe kunishutumu kwa kitu wewe hukijui?
Kuhusu Ilunga:

Huyu jamaa ni mtu mbaya sana kuishi

Bora alitangulia tu
 
Back
Top Bottom