Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

Much...
Naam.
Kulipatapo kuwa mjadala mkali hapa JF kuhusu maneno ya Sheikh Ilunga baada ya Sheikh Abdul Rogo kuuliwa Mombasa.

Nilichangia fikra zangu pamoja na wachangiaji wengine.
Unaweza elezea Kwa sentensi fupi kama hautojali mzee wangu?
 
yap, na Ilunga alikuwa role model wako., hongera.
Yesu...
Kwani hairuhusiwi Ilunga kuwa, "role model" wangu?

Mwaka wa 2011 nilipita Geneva nikakutana na kijana mmoja akanikaribisha nyumbani kwake.

Katika mazungumzo akaniuliza kama namjua Sheikh Ilunga.
Nikamwambia namfahamu sana.

Akaniwekea video ya Sheikh Ilunga.

Nikamuomba anipige picha Ilunga akiwa ndiyo ''background.''

1733137380338.jpeg

Geneva


 
hata uwe na tuzo 100, ukweli utabaki,wewe huna faida yeyote kwenye hili taifa. matarajio yako huwa unatamani nchi ichafuke kwa udini wako, ila Mungu wa kweli yupo (sio huyo unayemwabudu), anailinda Tanzania.
Yesu...
Vipi unasema kuwa sina faida ilhali kalamu yangu imebadili historia ya uhuru wa Tanganyika na historia ya Mwalimu Nyerere?

Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni taarifa za Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed Salim ya pili yangu na ya tatu ni ya Brig. General Hashim Mbita.

Haya yameandikwa katika kitabu cha Nyerere (2020).

1733136669150.jpeg
 
Ukweli Mzee Said sijakisoma kabisa ila naona hapa jukwaani watu huwa wanakushambulia tu eti wewe ni mdini na mimi nimeiga tu kukukandia. Kama nimepotoka unisamehe si unajua ugonjwa wetu watanzania kudandia mambo bila kujiridhisha.
Muda...
Hapana tatizo.
 
Much...
Nieleze hayo mafundisho maovu amesema kitu gani?
Ndo narudi palepale uko biased kwasababu Kuna video ya Ilunga akihamasisha waislam wa Tanzania wawaue mapadre na wachugi kisa shekhe alouawa Kenya Sasa hayo sio mafundisho hasi?
 
Ndo narudi palepale uko biased kwasababu Kuna video ya Ilunga akihamasisha waislam wa Tanzania wawaue mapadre na wachugi kisa shekhe alouawa Kenya Sasa hayo sio mafundisho hasi?
Much...
Sasa ikiwa mathalan Ilunga kasema maneno hayo vipi mimi nitahusika?
 
Yuko ambae anaweza kuniambia kuwa kauli yangu peke yake ingetosha na angeniamini bila ya ushahidi wa picha?
Nimejifunza mengi mno kuhusu Tanu na harakati za Uhuru wa Tanganyika kupitia historia uliyoandika.......hongera kwa hilo
 
Log...
Mimi sina tatizo.

Hiyo ndiyo historia ya wazee wangu jinsi walivyounda African Association 1929 kisha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika)1933, wakaunda TAA Political Subcommittee 1950 na kuasisi TANU 1954.

Yote haya yako katika kitabu cha Abdul Sykes kwa ushahidi wa nyaraka na picha.

Simlazimishi mtu yeyote awaye yule kuamini nilichoandika.

Naona Kiswahili kinakupa shida unaniandikia Kiingereza.

Nina first class pass English Language Cambridge Examination 1970.
Naona nauliza kuhusu makande naletewa Bamia...., Badala ya yale niliouliza awali.., naona tumeingia kwenye Biography yako.., Kwahio sina budi kuchukua hamsini zangu....
 
Back
Top Bottom