Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

Sasa huyo mafundisho yake yalikuwa ni kuradicalize vijana wadogo waanzishe Fujo za kidini ushawahi andika Hilo?
Much...
Naam.
Kulipatapo kuwa mjadala mkali hapa JF kuhusu maneno ya Sheikh Ilunga baada ya Sheikh Abdul Rogo kuuliwa Mombasa.

Nilichangia fikra zangu pamoja na wachangiaji wengine.
 
Ndio ujue hata huyo Mohamed said ni mtu wa hovyo tu
Timing,
''Ovyo''
Siku chache zilizopita nimepokea Tuzo kwa ajili ya kalamu yangu.

1733111154693.jpeg

Log...
Lakini hapo hakuna picha ya namba 6.
Hapo kuna picha ya Dome Okochi Budohi.
Case in Point: Ninachoongelea ndio nilichoongelea kuanzia mwanzo mimi sijaongelea mambo ya hio post ya Kadi ya Tanu wala nilikuwa sijaiona mimi nimeongelea Kupotosha habari kutokana na perspective au uelewa tofauti hata kama ni picha..., Sasa wewe kesho unaweza kusema Logikos alipinga kwamba Kadi namba sita ilikuwa haipo na ilikuwa Tisa au Nane iliyofutika....

Kumbe mimi nimekuelezea kwamba ukipewa karatasi ambayo hujui chini au juu ni wapi na ina namba sita mwingine anaweza kusema tisa kutokana na perception yake....

Vilevile huenda hata hao wakawa wamekosea sababu walikuja wamechelewa na hio sita au tisa imefutika na sasa kumbe ilikuwa nane..., au huenda hio ilikuwa tano na mtu alifoji na kuongezea...
Wewe huijui historia hii.
Mimi naisomesha historia hii ili tuwe na historia iliyokamilika.
Kutokujua kwangu historia sio issue (lakini nadhani hapa hata hujui maana ya historia) sababu nilivyoishi shule na marafiki zangu hio ni historia yangu na ninaijua fika na kuijua kwangu haimaanishi nikihadhithia watu itakuwa sahihi sababu huenda nikaongeza chumvi...

Busara ni kukusanya vyote kutoka kwa watu tofauti na kuhadithia with grain of salt..., yaani kwa mujibu wa fulani fulani....
 
Mimi nakuambia kuwa babu yangu Salum Abdallah aliongoza migomo mitatu Tanganyika 1947, 1949 na 1960 akiwa mfanyakazi wa Tanganyika Railways.

Mgomo wa 1960 ulidumu kwa siku 82 yeye akiwa Chairman wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) Secretary Kassanga Tumbo.

Chama hiki walikiunda 1955 na wakakiegemeza kwa TANU kupambana na Mwingereza.

Baba yangu Salum Abdallah kamjua Julius Nyerere 1952 na alimkuta nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Kayaona yote na kusikia yote kwa macho na masikio yake.

Naijua vyema historia hii kwani lau nilikuwa mdogo lakini nina kumbukumbu nyingi.

Watu kama Dome Okochi Budohi, Titi Mohamed, Ismail Bayumi, Abdul, Ally na Abbas Sykes nimewafahamu toka udogoni.

Hawa wamenieleza kila kitu.
Hapakuwa na pazia baina yetu.

Hii ndiyo iliyofanya kitabu changu cha maisha ya Abdul Sykes kishinde vitabu vyote katika kueleza historia ya uhuru wa Tanganyika na TANU na historia ya Nyerere.
 
Log...
Mimi nakuambia kuwa babu yangu Salum Abdallah aliongoza migomo mitatu Tanganyika 1947, 1949 na 1960 akiwa mfanyakazi wa Tanganyika Railways.

Mgomo wa 1960 ulidumu kwa siku 82 yeye akiwa Chairman wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) Secretary Kassanga Tumbo.

Chama hiki walikiunda 1955 na wakakiegemeza kwa TANU kupambana na Mwingereza.

Baba yangu Salum Abdallah kamjua Julius Nyerere 1952 na alimkuta nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Kayaona yote na kusikia yote kwa macho na masikio yake.

Naijua vyema historia hii kwani lau nilikuwa mdogo lakini nina kumbukumbu nyingi.

Watu kama Dome Okochi Budohi, Titi Mohamed, Ismail Bayumi, Abdul, Ally na Abbas Sykes nimewafahamu toko udogoni.

Hii ndiyo iliyofanya kitabu changu kishinde vitabu vyote katika kueleza historia ya uhuru wa Tanganyika na TANU.
How does this negate what I have just said above ?

Kwa muktadha wa kwamba picha ni confirmation ya chochote kwa yoyote anachosema ?

Hususan karne hii ya AI naweza hapo kuleta picha yako unaiba ngamia wakati kumbe hujawahi kumuona ngamia maisha yako yote....
 
Mimi sina tatizo.

Hiyo ndiyo historia ya wazee wangu jinsi walivyounda African Association 1929 kisha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika)1933, wakaunda TAA Political Subcommittee 1950 na kuasisi TANU 1954.

Yote haya yako katika kitabu cha Abdul Sykes kwa ushahidi wa nyaraka na picha.

Simlazimishi mtu yeyote awaye yule kuamini nilichoandika.

Naona Kiswahili kinakupa shida unaniandikia Kiingereza.

Nina first class pass English Language Cambridge Examination 1970.
 
Much...
Historia hii haikupata kuandikwa popote kwa hiyo wewe hukuwa unaijua.

Ajabu sasa na hapa kuwa unanishutumu kuwa nimeongeza mambo katika historia hiyo yaani kuna ''exaggeration.''

Huoni kuwa hayo ni maajabu wewe kunishutumu kwa kitu wewe hukijui?
Kuhusu Ilunga:

shehk ilunga ndio yule alichapisha cd nyingi kule zanzibar, akasambaza na vijana wake wa kigaidi. huyu ndio MOhamed Said anaamini kuwa alikuwa anaulingania uislam. kwa wasiojua, wanauamsho kule zanzibar waliokuwa wanamwagia wakristo tindikali, waliokuwa wanatengeneza mabom ya petroli na kurusha kwenye makanisa (nina ndugu yangu mchungaji kule alishawahi lipuliwa kanisa), huyu ndiye alianzisha mihadhara ile iliyoproduce magaidi wengi zanzibar na pwani. tukisema mzee MOhamed said ni gaidi na sapporter wa ugaidi muwe mnaelewa. Kama shehe ilunga kwake yeye ni role model, what else do you expect from huyu mzee? na anakufa masikini akiwa na moyo huo huo wa udini ambayo haijamsaidia chochote hadi leo,amejaa tu uchungu na kuamini wakristo tz wanawaonea waislam. ukiuliza kwenye lipi, hana jibu.
 
Mzee Mohamed Said heshima Mzee wangu, samahani nilikuwa naomba kama una PDF hotuba ya Mwl Nyerere inasema viongozi wasigeuke nyuma wakawa mawe, naomba tafadhali unisaidie kama unayo
 
shehk ilunga ndio yule alichapisha cd nyingi kule zanzibar, akasambaza na vijana wake wa kigaidi. huyu ndio MOhamed Said anaamini kuwa alikuwa anaulingania uislam. kwa wasiojua, wanauamsho kule zanzibar waliokuwa wanamwagia wakristo tindikali, waliokuwa wanatengeneza mabom ya petroli na kurusha kwenye makanisa (nina ndugu yangu mchungaji kule alishawahi lipuliwa kanisa), huyu ndiye alianzisha mihadhara ile iliyoproduce magaidi wengi zanzibar na pwani. tukisema mzee MOhamed said ni gaidi na sapporter wa ugaidi muwe mnaelewa. Kama shehe ilunga kwake yeye ni role model, what else do you expect from huyu mzee? na anakufa masikini akiwa na moyo huo huo wa udini ambayo haijamsaidia chochote hadi leo,amejaa tu uchungu na kuamini wakristo tz wanawaonea waislam. ukiuliza kwenye lipi, hana jibu.
Yesu...
Unaweza kuniita majina utakayo.
Kwangu si tatizo.

Nafahamika vyema kwingi katika duru za historia ndani na nje ya Tanzania na nimealikwa vyuo vingi ndani na nje kuzungumza historia ya Tanzania.

Nimeshirikishwa katika miradi mingi ya kuandika historia ya Afrika na kazi zangu zimechapwa na zinasomwa kwingi.

Nashukuru kuwa nafahamika kwa sifa nzuri.

Hapa JF nimechaguliwa Mwandishi Bora miaka miwili mfululizo.
 
Kweli wewe ni mwandishi mzuri ila story zako ziko biased based on your religion
Zipo based ila sio biased, duniani kote kila scholar kuna Eneo ana specialise na Mzee wetu hilo ndio eneo lake, ushukuru Mungu kuna mtu kama huyu kuku elezea hayo,

Ukiona mtu ni jack of all trade kila kitu anajua kuna uwezekano mkubwa yupo shallow maeneo mengi.
 
Wewe Mzee Said makala zako siyo nzuri kabisa kwa sababu unajikita kwenye kudhani uislamu ndiyo unapaswa kutawala Tanzania. Hata hao unaowaposti au umewaandikia makala kama waliachwa na Mwl Nyerere ujue walikuwa kikwazo kwa Tanzania tuliyonayo sasa, amini nakuambia nchi yetu iko hatua za mbele sana kwenye maendeleo na amani. Ndiyo maana mtu yeyote anayevuruga misingi ya taifa letu anajikuta mwenyewe tu kapotea na kupuuzwa kama jinsi ambavyo wewe unapuuzwa na makala zako chonganishi zenye kuleta mgawanyiko. Na usikute hapo sasa unafurahi Dkt Samia ni Muislamu na unataka baada ya Dkt Samia aje Muislamu, huo ndiyo udhaifu wako Mzee
 
hii award ilitolewa na kikundi gani cha wajahidina? hata HAMAS au HEZBOLLAH wangeweza kukupatia award. issue sio award, issue ni anayekupa award ana sifa gani.
Yesu...
Nina tuzo tano kutoka taasisi tano tofauti.

Nimefanya kazi na Oxford University Press Nairobi na Oxford University Press New York na Harvard.

Nimeshiriki katika uandishi wa kitabu cha Julius Nyerere kilichoandikwa na Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ng'waza Kamata.
 
Wewe Mzee Said makala zako siyo nzuri kabisa kwa sababu unajikita kwenye kudhani uislamu ndiyo unapaswa kutawala Tanzania. Hata hao unaowaposti au umewaandikia makala kama waliachwa na Mwl Nyerere ujue walikuwa kikwazo kwa Tanzania tuliyonayo sasa, amini nakuambia nchi yetu iko hatua za mbele sana kwenye maendeleo na amani. Ndiyo maana mtu yeyote anayevuruga misingi ya taifa letu anajikuta mwenyewe tu kapotea na kupuuzwa kama jinsi ambavyo wewe unapuuzwa na makala zako chonganishi zenye kuleta mgawanyiko. Na usikute hapo sasa unafurahi Dkt Samia ni Muislamu na unataka baada ya Dkt Samia aje Muislamu, huo ndiyo udhaifu wako Mzee
Muda...
Umesoma kitabu changu chochote?
 
Yesu...
Unaweza kuniita majina utakayo.
Kwangu si tatizo.

Nafahamika vyema kwingi katika duru za historia ndani na nje ya Tanzania na nimealikwa vyuo vingi ndani na nje kuzungumza historia ya Tanzania.

Nimeshirikishwa katika miradi mingi ya kuandika historia ya Afrika na kazi zangu zimechapwa na zinasomwa kwingi.

Nashukuru kuwa nafahamika kwa sifa nzuri.

Hapa JF nimechaguliwa Mwandishi Bora miaka miwili mfululizo.
yap, na Ilunga alikuwa role model wako., hongera.
 
Yesu...
Nina tuzo tano kutoka taasisi tano tofauti.

Nimefanya kazi na Oxford University Press Nairobi na Oxford University Press New York na Harvard.

Nimeshiriki katika uandishi wa kitabu cha Julius Nyerere kilichoandikwa na Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ng'waza Kamata.
hata uwe na tuzo 100, ukweli utabaki,wewe huna faida yeyote kwenye hili taifa. matarajio yako huwa unatamani nchi ichafuke kwa udini wako, ila Mungu wa kweli yupo (sio huyo unayemwabudu), anailinda Tanzania.
 
Back
Top Bottom