Kuna ofisi za kanda kwenye baadhi ya mikoa, Nenda kwenye website yao kwenye sehemu ya contact us kama sikosei, utakuta wameorodhesha anuani za ofsi zao za kanda na sehemu zilipo. Dodoma zipo njia ya kuelekea UDOM katika jengo la ofsi za mkaguzi wa mahesabu. (Jendengwa area)Kwa wale wa mikoani tunafanyaje?
Kwani kuna ugumu gani kwa bodi ku-update deni la mdaiwa huko hazina (kwenye salary slip)?
Mwanzani PPF plazaa ghorofa ya NneKuna ofisi za kanda kwenye baadhi ya mikoa, Nenda kwenye website yao kwenye sehemu ya contact us kama sikosei, utakuta wameorodhesha anuani za ofsi zao za kanda na sehemu zilipo. Dodoma zipo njia ya kuelekea UDOM katika jengo la ofsi za mkaguzi wa mahesabu. (Jendengwa area)
Wapo TAZARA mkuu, kilimo pale.Mwenge sehemu gani mkuu
Ahsante sana mkuuWapo TAZARA mkuu, kilimo pale.
Wakuu nipeni location ya kufika Bodi ya mkopo nikiwa natokea Bagamoyo via Bagamoyo roadAhsante sana mkuu
Ukifika TAZARA/Mfugale Flyover unatembea tu kwa miguu kama unaelekea Taifa mkononwa kulia.Wakuu nipeni location ya kufika Bodi ya mkopo nikiwa natokea Bagamoyo via Bagamoyo road
Ubarikiwe sana mkuu, ahsante nimefikaUkifika TAZARA/Mfugale Flyover unatembea tu kwa miguu kama unaelekea Taifa mkononwa kulia.
Wanakatwa nini. Kuanzia lini? Akina nani?Mbona wanakatwa tena.
Wamerudisha Retention fee kimyakimya, huku watumishi wanalia kivyaoWanakatwa nini. Kuanzia lini? Akina nani?
Bonyeza Forget Password itatumwa kwenye namba ya simu iliyopo kwenye dashboard ya helsb,nb namba uliyosajilia kupata taarifaKama umesahau password jamani inakuaje
Nime-try ku-log in severely ila wapi
Hawajarudisha,kilichotokea ni kwamba baadhi ya makato hayakupelekwa mahala husika,kama unashida fika ofisini kwaoWamerudisha Retention fee kimyakimya, huku watumishi wanalia kivyao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza,Arusha,Dodoma,Mbeya kuna BranchNasikia mikoani wana branches, sina uhakika kama ni mikoa yote
Bonyeza Forget Password itatumwa kwenye namba ya simu iliyopo kwenye dashboard ya helsb,nb namba uliyosajilia kupat
Sina access nayo,.niliipoteza 😑a taarifa
Lipa control number peleka HESLEB watakupa barua upeleke kwa mwajiri asitishe makatoWakichukua rejesho la mwezi June, Outstanding balance itabaki kama 38k.
Naomba kufahamu,je,hicho kiasi kilichobaki kitakatwa mwezi July kama kilivyo yaani 38k au watakata kiasi cha 15% kama miezi iliyopita?
Na je,ikiwa nitalipa hicho kiasi kitakachobaki yaani 38k kwa Control Number Outstanding balance itaakisi haraka kwenye Salary Slip au ni kipengele tu bora kusubiri?
Watakata 38Wakichukua rejesho la mwezi June, Outstanding balance itabaki kama 38k.
Naomba kufahamu,je,hicho kiasi kilichobaki kitakatwa mwezi July kama kilivyo yaani 38k au watakata kiasi cha 15% kama miezi iliyopita?
Na je,ikiwa nitalipa hicho kiasi kitakachobaki yaani 38k kwa Control Number Outstanding balance itaakisi haraka kwenye Salary Slip au ni kipengele tu bora kusubiri?