Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee

Kwanini mshahara haupandi asilimia 6 kila mwaka kulinda dhamani ya fedha. Yaani mkataba nimesaini 2015 mpaka leo nalipwa hela hiyo hiyo!!
 
Hakuna kitu hicho mleta mada unatuchora
 
Kwa chuo nilichosoma mimi, YES. Ada haijabadilika kabisa, ni ileile.
 
Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
Shetani wa kike wewe.
Shwain!
Hurreee Mama Samia💪
 
Swali kama wameondoa hiyo tozo tafsiri yake ni kwamba haikuwa halali, je Yale Makato uliyokatwa kinyume na makubaliano utarudishiwa au yanaingia kwenye kupunguza deni? Au ndo unafunika kombe mwanaharamu apite.
 
Ok mkuu umesema kwenye slip ipo vilevile ila kwenye chungu cha bodi ya mikopo inasomeka kivingine.

Sasa huoni ya kwamba utaendelea kutumikia deni linalo onekana kwenye slip kwasababu ndilo linalo tambulika na hazina?
Hapana, la bodi likiisha nakweda kuchukua barua inayoonesha nimemaliza deni, kisha naipeleka kwa afisa utumishi ambaye atasitisha makato kutoka kwenye mshahara.

Na ikitokea mchakato umechelewa wakanikata zaidi, upo utaratibu wa kurudishiwa pesa yako kutoka bodi.
 
Ushauri ni vyema bod ya mikopo kama kweli imepunguza kwa namna hiyo wawasiliane na ofisi za utumishi watume majina na kiasi cha madeni cha wanaokatwa
 
Lengo la mikopo kwa wanafunzi sio bishara yenye kuhitaji kuwekewa tozo ya kulinda thamani ya deni. Kumbuka serikali inawajibu wa moja kwa moja kutoa huduma ya elimu, haya kuchangia kwa njia ya kupewa mkopo ni baada ya kuingia viongozi wenye mawazo ya ulafi kama wewe. Hizi ni kodi za wananchi na hivyo si wajibu wa serikali kuzifanyia biashara zaidi ya kutoa huduma.
Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
 
Sawa lkn awaambie hao watu wa bodi kuwa mkopo ni haki wa kila raia.Kusema kisa umesomesha mtt wako shule ya kulipia unyimwe mkopo si saw.
kabisa aisee.
mfano mimi watoto wangu walisoma shule za msingi za serikali, maarufu kama kayumba, O level nikawapeleka shule za private, A level wakasoma shule za serikali, walivyochaguliwa vyuo vikuu hawakupewa mkopo na bodi, ikabidi kuingia tu gharama maana hakuna jinsi hasa ukichukulia sisi watumishi wa serikali tuliopigwa "ribiti" kwa miaka mitano unabaki kushangaa tu, haya jamaa si wangempa hata mmoja tu ili kunipunguzia kamzigo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…