Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Lissu akipata hata kura laki tano mkatambike
Ni haki yao ya kidemokrasiaSahihi sijui kwanini waislamu wanaipenda sn CCM
Nani kapata utajiriii kwa kuikataa ccm? Utajiriii ni harakatiii za mtu, halafuu mara zote mkiambiwa jimbo la upinzani limekosaaa maendeleo majibu yenu upinzani haukusanyi kodi, kama Mwanza ile ccm imetamalaki, Arusha vijimbo vya upinzani viwili tu, Mbeya sijui vitatu, halafuu mnabwataaa wewe utafikir mmechukua mkoa mzimaaa mnastaajabishaInawapa umaskini sn
Uhalisia upiii unaotangaza wewe mkoa masikini kuliko yote ni Kigoma upinzani Tele, nimekwambia lete hapa tafitiii za BOT tujue Nani msema kweliii, Mwanza ccm, Mbeya ccm kasoro vijimbo sijui 3, Arusha Ccm kasoroo vijimbo viwiliii( waliungaaa juhudi baada ya waliomfata Lowassa kuunga juhudi ), mkipiga kelele angalau mgawane nusu na ccm Majimbo ya mkoa husika, sio vijimbo viwiliii mkoan mnabwataaa kama Bata na kuita eti huo mkoa wa upinzani ni maajabuUnajibu kinyonge sana baada ya kupata uhalisia wa mambo.
Magufuli mwenyewe kaenda akapigwa na butwaa kwa maendeleo makubwa kwenye majimbo ya wapinzani kuliko majimbo yaliyoongozwa na ccm.
Anabaki kunadi taa za barabarani utafikiri wananchi wanakula taa za barabarani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
mie sijakulazimisha uchague nnachotaka mie, nimekupa tu picha ya hali ilivyo...we chunguza utaona ukweli.Kila mtu anayo haki ya kumchagua amtakeye, mbona kama mnalazimisha watu wachague mpendacho nyinyi?
Muda upiii jiandae kusaga menoSawa bibie tusubirie muda utaongea.
Hizo ni propagandamie sijakulazimisha uchague nnachotaka mie, nimekupa tu picha ya hali ilivyo...we chunguza utaona ukweli.
Ccm imetamalakiView attachment 1595656
Mwaka huu vijana wa Chadema mtajinyonga sana
Huyo msaliti wa Nchi Lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Atarudi ubeligiji analia
Muda upiii jiandae kusaga meno
Mpuuzi nini Arusha, Moshi zinafanana na Singida au Tanga?Ni haki yao ya kidemokrasia
Nani kapata utajiriii kwa kuikataa ccm? Utajiriii ni harakatiii za mtu, halafuu mara zote mkiambiwa jimbo la upinzani limekosaaa maendeleo majibu yenu upinzani haukusanyi kodi, kama Mwanza ile ccm imetamalaki, Arusha vijimbo vya upinzani viwili tu, Mbeya sijui vitatu, halafuu mnabwataaa wewe utafikir mmechukua mkoa mzimaaa mnastaajabisha
Acha udini,jamii ipi ya kikristo iliyo na maendeleo?endelea kujidanganya,wapi wanaposomea chini ya mitiMaeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya miti
Arusha, Moshi na Tanga hakuna tatizo la maji, umeme wala barabara, mda wowoteee saaa yeyote panaendeka kwa urahisi, hakuna njaa ya vyakulaaa, ni miji inayojitosheleza kwa kila kitu, hakuna mtu atapataaa kazi Tanga akakataa, jichanganye upateee Singida Mashariki kwa lissuMpuuzi nini Arusha, Moshi zinafanana na Singida au Tanga?
Sisi tunajua kuweka rangi ndevu zetu nyingi kwenye videvu vyetu!Maeneo yote yenye waislamu wengi CCM Inapeta tu pamoja na kwamba hakuna maendeleo kabisa na ni maeneo yaliotengwa
Sababu ya CCM kukubalika sana kwenye maeneo haya ni kwamba,,,
Waislamu wengi tumeishia darasa la saba na sisi ni jamii ya watu masikini sana hapa Tanzania mpaka Leo watoto wetu bado wanasoma chini ya mitis
Umewahi sikia Moshi au Arusha kuna tatizo la madawati au madarasa, maji na huduma za afya? jifunzeArusha, Moshi na Tanga hakuna tatizo la maji, umeme wala barabara, mda wowoteee saaa yeyote panaendeka kwa urahisi, hakuna njaa ya vyakulaaa, ni miji inayojitosheleza kwa kila kitu
Na kuvaa kanzuSisi tunajua kuweka rangi ndevu zetu nyingi kwenye videvu vyetu!
Hakuna sehemu ambako hakuna matatizo , mfano kama Rau secondary wazazi wanajitolea kuchangia sio kwamba hakuna matatizo,elewaaa wewe Ata US masikiniii wa kutupwaaa wapoUmewahi sikia Moshi au Arusha kuna tatizo la madarati au madarasa, maji na huduma za afya? jifunze
Utafananisha na kwenu? kuna nyumba za tembe Moshi kama Dodoma?Hakuna sehemu ambako hakuna matatizo , mfano kama Rau secondary wazazi wanajitolea kuchangia sio kwamba hakuna matatizo,elewaaa wewe Ata US masikiniii wa kutupwaaa wapo
Hivi kigoma in maendeleo gani licha ya kuchagua wapinzani?Chadema
Songwe. Kilimanjaro yote,. Arusha. Mbeya n, k
Lakini pwani,. Tanga. Lindi. Mtwara. Tabora n, k shida tupu
Rombo ipo chini ya ya upinzani muda sasa laki makazi yao bora tembe za wagogo na wanyaturuTanga Mjini ilikuwa chini ya CUF!