Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

Daaah inasikitisha ukute alimlawiti kimasikhara tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwanamke akifanyiwa ni kosa la jinai, Ila akifanyiwa mwanaume kwake Haina shida

Cc.Aliyekuwa Waziri Wa KATIBA .. ALIMWINGIZIWA MWANAUME CHUPA Na DPP kaona Hana hatia (Gekul)
Sasa ulitaka waziri hapewe hukumu sawa na asiye waziri.
Nguvu ya pesa,na umaruufu ndio uamua hukumu yako
 
Mke kabaki na mzigo wa kulea watoto peke yake.
Angekausha tu...maana mara moja haidhuru na inavumilika, japo si nzuri kiafya, huenda mke pia aliichoka ndoa, hivo alikuwa anatafuta pa kutokea.
(MSININUKUU VIBAYA.
NI MTAZAMO WANGU MIMI BINAFSI)
Nadhani mwanamke pamoja na kushitaki hakutarajia kama yatapelekea miaka 30. Kama angejua angevunga tu.

Sijui ndugu wa upande wa kiume watamchukuliaje huyu mmwanamke na pengine alikuwa tegemeo kwao.
 
sema nini sheria za kichoko sana, yule crush wangu kaingiza chupa kwa puru ya msela, kaachiliwa anadunda Babati kule
Inategemea we ni nani nchi.
Mbarikiwa kanyimwa usajili na kufungwa,suguye kasitishiwa huduma aliposajili akafunguliwa.
Sheria zetu ni dabo standard
 
Nadhani mwanamke pamoja na kushitaki hakutarajia kama yatapelekea miaka 30. Kama angejua angevunga tu.

Sijui ndugu wa upande wa kiume watamchukuliaje huyu mmwanamke na pengine alikuwa tegemeo kwao.
Hapo ndoa haipo Tena,nadhan hakutegemea
 
Watoto ndio washakosa malezi na mahitaji Yao ikiwemo upendo WA baba hivyo
 
Masaa 24 mengi Geita watakuwa wamesha-equlize. Maana naona Njombe katupia 2 in a row yaani hili na la jamaa aliyemcharanga vipande vipande mkewe.
Geita tayari jamaa kamaliza mwanaye wa miezi mi5
 
Nadhani mwanamke pamoja na kushitaki hakutarajia kama yatapelekea miaka 30. Kama angejua angevunga tu.

Sijui ndugu wa upande wa kiume watamchukuliaje huyu mmwanamke na pengine alikuwa tegemeo kwao.
Hapo ndio patamu.
Kama ni mpambanaji, atatoboa yeye pamoja na familia aliyoachiwa.
Ila kama alikuwa tegemezi kwa kila kitu, asitarajie kama atafikia malengo, labda kwa ukauzu na kupelekeshana na ndugu wa mume.
 
Jamaa katuaibisha wanaume wenzake sana, nawaza kumlaumu mwanamke maana na mzigo wa malezi, ila midudu mikatili na mishenzy hivyo ni changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…