Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Binadamu hawana huruma,ila jasho la ntu halipotei bure,kizazi mpaka kizazi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sijamtetea. Nimeshauri swala hili lichunguzwe kwa umakini maana huwenda Ni kweli na pia Kusingiziwa kupo
Kwanini uhisi kusingiziwa, una story nyingine uliyonayo tofauti na hii aliyosema Mtoto, Mtendaji, Baba Mtoto na Baba mdogo wa Mtoto?
 
Hizi ndizo Tabia za wachaga typical kabisa. Yaani Kuna mmama mmoja Ni wazee wa Baraza la mahakama ,anakuambia anaakaa na kijana mchaga huyo hata miaka mitano, baadaye anasingiziwa akaiba, kijana anakimbia ama kufungwa anabakiza hela zote kwa boss.

Yaani nenda mahakama za Moshi vijana wanapewa mashtaka fake wanazimwa pesa . Mchagaa elewa sio damu ya tanzania yaani wote tunafanana usipokuwa tu mchaga hata wao wakiwa wanataka utu wanaenda kwa vyasaka Ila kwao hawaendi watakejeliwa na kudhihakiwa.

Huyu inaonekana Kama alimkomoa dogo huyo,Hakuna Cha wizi Wala ama kukimbia na dogo Basi Kuna namna wamefanyiana sema mangi akazidiwa kete na mmasai so anatafuta revenge kwa nguvu zote hata kumuua
 
Nisingekaa nikasahau na siku moja hata ingepita miaka 10 ningetia kiberiti nyumba yao na mifugo yao wafe wote kumbaf.
 
People change ndugu....
 


“Angewadanganya wote lakini Asingeweza kunificha mimi”

Kwa sababu wewe ni Mungu kwake ama niaje?










Kuuza mbuzi 35 kwa mkupuo ni rahisi kwa mtu alieweka mipango na kusuka ramani muda mrefu ukizingatia yeye ndio mchungaji kwahiyo lazima alikua anajuana na wachungaji wengine na wauzaji pia.

Huyo aliekua anafungiwa ndani alikua anazibwa na mdomo na kufungwa mikono na miguu?

Maana sioni sababu kwanini hakujiokoa kwa kupiga kelele kuita majirani ama kujaribu kuvunja mlango ama dirisha? Tena kijana wa miaka 14, ni mtoto yes lakini mwenye utambuzi wa mazingira na means of survival lazima anazijua tayari.


Miezi mitano unalawitiwa kirahisi tu?!

Na hao wazazi kijana anapotea miezi 5 taarifa zilifika polisi? Juhudi zao za kumtafuta mtoto wao kwa miezi yote mitano ni zipi?

Upishi unaweza kuwepo hapa.
 
Inahusiana nini na habari hii?
Au kama kawaida mnateteana kwenye ushenzi

Mbona sijaona ametetea vipi ushenzi?


Mfano wake aliotoa ni mzuri maana unakutoa nje ya box na kukufanya uwaze kwa mapana.

Kwenye dhulma binaadam hugeuka hayawani.

Mlawiti na mwizi wa mshahara wa mfanyakazi wale wote ni watendaji wa dhulma.
 
Hii story ina ukakasi: Mtoto apotee zaidi ya miezi sita no Police report??
Mbuzi 35 wanaibiwa na kuuzwa no Police case??
Huenda Dogo ajalipwa pesa yake kama mchungaji wanamtengenezea zengwe wasimlipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…