musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Hawawezi kuamua siku zote.
Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic
Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake mzazi(Rwanda)
Mwanao anaekuhujumu mfanye mazungumzo,viongozi wa Africa hawawezi kuamua mambo yao...lazima waamuliwe,ndio waamuliwe kujengewa vyoo,should,hospital na kila kitu
Vipi wataamua mstakabalia wa mwenzao ili Hali wengine mikono yao michafu tena wanashirikiana na mtoto wa kuasili
Bacongoman amueni kwa ajili ya nchi wenyewe...mwenye jembe ,kisu ,fimbo nk...vinginevyo ni aibu kubwa...mbona muziki na mpira mnaweza mnashindwa wapi?loh Congo
Mungu atusaidie Africa
Mungu awahurumie wacongoman