Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

Basi chagua unachotaka hata kama ni Yohana Mtembezi Double Black (John Walker whiskey)
Haha nimecheka hiyo nickname ya JW

Sometimes uwa napika uji namix na JW red label 😂

Ila Janabi hapendi, sijui itakuwaje.
 
Haha nimecheka hiyo nickname ya JW

Sometimes uwa napika uji namix na JW red label 😂

Ila Janabi hapendi, sijui itakuwaje.
Afu tuonane basi bosslady
Nataka unifundishe jinsi ya kumix hizo makitu maana hiyo chemistry najua unaiwezea
 
Uliandika “hamieni” sounds niko included..

Ni mapito tu wanapitia ya ukarabati itakuwa..

Natumia voda, walivyoleta hiyo michezo ya E- sim nikadilute simu ikawa ya laini mbili, na Tigo pia wanaletaga 5G/ LTE
Mwamba uyu apa😂
 
Back
Top Bottom