Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Haha nimecheka hiyo nickname ya JWBasi chagua unachotaka hata kama ni Yohana Mtembezi Double Black (John Walker whiskey)
Sometimes uwa napika uji namix na JW red label 😂
Ila Janabi hapendi, sijui itakuwaje.