Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

Isije ukawa mwanzoni walikuwa wanaingizwa chaka kwa tafsiri potofu la maandiko ila miaka hii ndio maandiko yametafsriwa kiusahihi.

Wasabato wamefnikiwa sana kuitunza sabato na kutokula nguruwe ila suala la kunyanduana bado ngoma ngumu.
Vijana wa kisabato, mabinti na vijana hodari kushika sabato ila wananyandulika sana
 
Kama ni hivyo basi ilitakiwa tuache kuoga,kupiga mswaki,kutahiriwa manake ni kama tunarekebisha uumbaji wa Mungu, hivi yesu alikua anaabudu dhehebu gani?
 
Kanisa lilikuwa ni moja tu, katoliki la mitume. Walivyojikuta wajuaji wakameguka hao ndio madhehebu. Sisi sio dhehebu. Sisi ni ukristo.
 
Kwanza kuna tofauti ya dini na dhehebu. Sabato ni dhehebu. Ukristo una madhehebu mengi
And negotiation ya kusamehewa dhambi is between mtu na muumba wake, it has nothing to do na dheheb au dini yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…