Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu siku hio kwa kuiita shabat (Sijajua uhalali wa wao kuona ndio siku ya sabato)

Ila sasa kuna baadhi ya sheria wameanza kupwaya.

Miaka ya 90s na 2000s mwanzoni nilishuhudia wasabato wengi wakienda kunyoa walikuwa wanakataa kuchongwa mpaka wakajipatia umaarufu wa mtindo wao kuitwa "kunyoa kisabato", Lakini leo hii hali ni tofauti, ukienda makanisa ya wasabato utaona mpaka wachungaji wamepiga panki na kuzichonga nywele, ndevu wamechonga kwa mtindo wa O.

Huyu ni mojawapo wa kundi la wachungaji wengi wa kisabato wanaochonga nywele na ndevu.

View attachment 2778741

Pia mabinti wengi sana walikuwa hawasuki wala kuvaa hereni waliamini kwa
mujibu wa Nyaraka za Mitume- Paulo na Petro, KUSUKA kumetizamwa kama MAPAMBO, Kwa mujibu wa Biblia, MAPAMBO MAZURI ni Tabia Njema, utu wa Moyoni, kuvaa kwa kujisitiri, kujikubali uumbaji wako bila kujitoboa (hereni), kuchora tattoo, ama kubadili mtindo wa nywele ulizoumbiwa mfano kuzirefusha nywele fupi kwa kuzisuka rasta.


, lakini leo hii imeshakuwa kawaida kuwakuta hereni zinaninginia masikioni na kila wiki/mwezi msuko mpya.

View attachment 2778744
Isije ukawa mwanzoni walikuwa wanaingizwa chaka kwa tafsiri potofu la maandiko ila miaka hii ndio maandiko yametafsriwa kiusahihi.

Wasabato wamefnikiwa sana kuitunza sabato na kutokula nguruwe ila suala la kunyanduana bado ngoma ngumu.
Vijana wa kisabato, mabinti na vijana hodari kushika sabato ila wananyandulika sana
 
Mfano mdogo tu unasuka rasta ama weave kurefusha nywele, Je huoni huko ni kumkiuka Mungu aliempa mtu nywele fupi kwa sababu alizoona anafaa kuwa na nywele fupi ?

Ujitoboe sehemu za mwili sikioni, puani, ulimi ili uweke hereni,huku ni kumkashifu Mungu wako aliekuumba.
Kama ni hivyo basi ilitakiwa tuache kuoga,kupiga mswaki,kutahiriwa manake ni kama tunarekebisha uumbaji wa Mungu, hivi yesu alikua anaabudu dhehebu gani?
 
Kwani Mungu alianzisha dhehebu.Dhehebu ni jamii ya watu wenye shauri moja,hata mm na ww tukiwa na shauri moja hilo ni dhehebu.Sema hilo halitachukuliwa hivyo sababu ya mifumo ambayo iko established.Ila ndani ya dhehebu moja formal,ndani yake kuna madhehebu mengi informal.
Kanisa lilikuwa ni moja tu, katoliki la mitume. Walivyojikuta wajuaji wakameguka hao ndio madhehebu. Sisi sio dhehebu. Sisi ni ukristo.
 
Siku zote huwa nasema Dini za kikristo nyingi zinageuka kuwa kituko kwasababu hakuna misimamo ya kukemea maovu, vitu vinachukuliwa poa kwa kisingizio kwamba kila mtu ana maamuzi yake,

mtu kaenda kutubu kanisani dhambi zake za uzinzi na kutafuta njia ili kuziepuka lakini kanisa linaruhusu mabinti kuingia huku wamevaa magauni yanayowachora shepu, ni sawa na mraibu wa dawa za kulevya kupelekwa sober house inayoruhusu kutumia madawa.
Kwanza kuna tofauti ya dini na dhehebu. Sabato ni dhehebu. Ukristo una madhehebu mengi
And negotiation ya kusamehewa dhambi is between mtu na muumba wake, it has nothing to do na dheheb au dini yako
 
Back
Top Bottom