Upumbavu una shida moja, ukiwa kichwani haukupi ishara kama upo. Zaidi upumbavu ukiwa nao, wewe ndio unawaona wenzako wapumbavu.
Huyo Mpumbavu asingeweza kuchomoa Kigoma, asubiri uteuzi.
Ya mama yake, au hukusikia kwamba na yeye ni mwanae?Utesuzi kwa serikali gani ..............!!?
Wasaliti hatuwaonei huruma. Aliambiwa, “NRNE” akasema atalinda kura! Huyo asubiri tu matunda ya harakati za walionyooka!Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
Ya mama yake, au hukusikia kwamba na yeye ni mwanae?
Mama alikiri ni mwanae. Hivyo atampa hifadhi.
Tuma pichaArusha, Mbeya, Iringa muda huu kinanuka vibaya mno
CCM itamfikia kila mtu kwa kwakati wake si walimwona Tundu Lissu mjinga kuzuia uchaguzi.
Hakuna BungeApigwe tu, aliyataka mwenyewe.
Wawatembelee hao waarabu wamepata hizo mali sababu ya pembe za tembo za Ruaha Nation parkArusha, Mbeya, Iringa muda huu kinanuka vibaya mno
Huyo Mama yupo nchini kweli?Ya mama yake, au hukusikia kwamba na yeye ni mwanae?
Mama alikiri ni mwanae. Hivyo atampa hifadhi.