Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mm nmesababisha mauaji yapi hayo?Mkuu 'Mbaga' naomba tuyaache haya mengine sasa hivi
. Kama wewe na hao wenzako mnafurahia ushindi wenu, endeleeni na shamrashamra zenu; sisi wengine tunao msiba mkubwa ndani ya taifa letu.
Tunaomboleza sasa hivi kwa haya mauaji mliyo yasababisha ili kufanikisha ushindi wenu.
Mm nmeshinda kwenye shindano lipi?