GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi kweli unategemea Maza ataapishwa kwa huu uchaguzi ulioharibika. Mfano, Dar kwa ujumla hakukuwa na uchguzi wowote. Unless ana mpango wa kujiapisha na kuongoza kwa nguvu.

Actually, kama tume wangtumia busara tu kidogo, huu uchaguzi walitakiwa watangaze kuufuta. UMEHARIBIKA!!
Na kwa Tanzania hii ya hawa vijana waliyokwishakunawa maji ya kuwasha nakujifuta na Moshi wa mabomu 🤣🤣 asithubutu
 
Ya mama yake, au hukusikia kwamba na yeye ni mwanae?
Mama alikiri ni mwanae. Hivyo atampa hifadhi.

Kuna Sehemu niliambiwa kuwa eti ZITTO kamuoa Mtoto wa Kikwete ..... Ya Kweli haya au ni Story za Mtaani...!!?
 
Wewe unajitambuaje hasa kuwa tofauti na Zitto!

Angalau Zitto anao uwezo wa kujenga hoja katika maswala ya kiuchumi, wewe je?

..kuna wachumi wengi wazuri kuliko ZItto Kabwe.

..Zitto yuko upande usio sahihi wa siasa za Tanzania.

..aina za siasa anazotaka kuzifanya hazihitajiki katika zama tunazoishi.
 
..kuna wachumi wengi wazuri kuliko ZItto Kabwe.

..Zitto yuko upande usio sahihi wa siasa za Tanzania.

..aina za siasa anazotaka kuzifanya hazihitajiki katika zama tunazoishi.
Sijamtetea Zitto kwa lolote juu ya "maswala ya kisiasa"
 
Kwa yanayoendelea unapata nguvu za kutangaza matokeo
 
Hiyo karatasi akatawazie tu hakuna mbunge chawa .... Chawa wote sasa hivi hatuwataki
 
Wewe unajitambuaje hasa kuwa tofauti na Zitto!

Angalau Zitto anao uwezo wa kujenga hoja katika maswala ya kiuchumi, wewe je?
Utakavyoniona ww ndio sahihi.
Haya akajenge hoja kwake.
 
Utakavyoniona ww ndio sahihi.
Haya akajenge hoja kwake.
Mkuu 'Mbaga' naomba tuyaache haya mengine sasa hivi

. Kama wewe na hao wenzako mnafurahia ushindi wenu, endeleeni na shamrashamra zenu; sisi wengine tunao msiba mkubwa ndani ya taifa letu.

Tunaomboleza sasa hivi kwa haya mauaji mliyo yasababisha ili kufanikisha ushindi wenu.
 
Back
Top Bottom